uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Achana na mbio za kiatu za Fei na Aziz Kila mwanasoka msimu huu ameshuhudia pazia jeusi likifunika soka la tz ambapo nyumba ya vipaji kwa soka la Tanzania ikianguka
Kila mtu mtu ukimuuliza atakwambia nimeiona mtibwa sugar ikishuka daraja na Simba ikishika nafasi ya 3
Haya ni matukio makubwa kabisa ambayo sio rahisi kwa mwanasoka yeyote wakati msimu unaanza angekwambia kuwa atayashuhudia haya,miamba miwili ya soka ikiporomoka vibaya anyway ndio mpira na ndio maana yanga wameanzisha chuo Cha mpira tanzania