Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,343
- 7,516
Mashaka yangu pia! Kwa mwendo wa Simba sasa, labda misimu miwili ijayo!Nina mashaka kama msimu ujao mtakuwa mmeweza kutatua changamoto mnazopitia ila ngoja tuone namna mtajitafuta mkiwa championship
Timu ilipoanza kuzama kila mtu aliiona, timu ilipoanza kupoteza ushawishi hakuna ambaye hakuona, timu ilipoanza kukosa wachezaji mbadala na hatimaye hata kukosa kikosi cha kwanza madhubuti, hakuna ambaye hakuona!
Zaidi, mtani akishika dola, anapambana kuizamisha Simba badala ya kuimarisha utawala wa kisoka kimataifa, hivyo ni siasa par se.
Singida, Ihefu n.k ziko kikamilifu kuhakikisha Yanga hafeli, hii ni jeuri ya uwaziri ambapo alipotolewa kitini, kukawa kimya! Msoga na clan yake wakiminywa Yanga inapoteana.