Watashuka tu, ongezeni unene wa bahasha!Mimi sina furaha kabisa.
Nitaanza kufurahi makolo wakishuka daraja.
Kolo umefura?Watashuka tu, ongezeni unene wa bahasha!
Unao uthibitisho/uhakika wa hayo mawili uliyoyaandika?Kolo umefura?
Miaka hii makolo mkitaka kushuka daraja hatutowanusuru kama 1988.Unao uthibitisho/uhakika wa hayo mawili uliyoyaandika?
Kushuka daraja huwa ni ngazi kwa ngazi binafsi nilishajua lazima Kuna team Moja ya kariakoo itapaswa kumpisha Azam walijaribu iwe yanga wakakuta ule ni mwamba miaka 4 aligoma kuachia top 2 wenyewe wakasarender kwenda kolo wamesukuma kitu pwaaaa!Mimi sina furaha kabisa.
Nitaanza kufurahi makolo wakishuka daraja.
1988 unasoma historia au ulishiriki?Miaka hii makolo mkitaka kushuka daraja hatutowanusuru kama 1988.
Tutaawacha mshuke tu mkacheze ligi daraja la kwanza.
Hamna kitu mkuu, ni suala la majizi kuifadhili timu tu, leo tukimpata tena Mwamba version 2, unadhani mtakuwa na lugha hiyo? Kumbuka;Mkuu matatizo ya Simba yanga hata hatuna uhusiano nayo na tuko tayari kuwafundisha namna ya kuendesha team tena nyie hata hampandi gari mnakuja kwa miguu kama shule ya kata
Basi sawa ila pamoja na bakuli hatukushuka hadi nafasi ya 31988 unasoma historia au ulishiriki?
Hamna kitu mkuu, ni suala la majizi kuifadhili timu tu, leo tukimpata tena Mwamba version 2, unadhani mtakuwa na lugha hiyo? Kumbuka;
- Mengi na Makamba
- Kutembeza bakuli
- Misimu 4 mfululizo bila bila
- Miaka 20+ bila klabu bingwa
Sio jambo mkuu, UFISADI Wa CCM is direct proportional na hayo wanayoyaita mafanikio kwa Yanga.
Kwa mara ya kwanza, Del Bosque anatimuliwa Madrid, alishindwa kubeba ligi ingawa alienda uefa.Basi sawa ila pamoja na bakuli hatukushuka hadi nafasi ya 3
Hata hapo ukoloni kumejaa majizi.Hamna kitu mkuu, ni suala la majizi kuifadhili timu tu,
Lakini hatukugombania nafasi ya 3 na Azam na hatimaye kuikosa kama nyinyi makolo.Misimu 4 mfululizo bila bila
Simba ndio inapotea mkuu haya na mengine tutaendelea kuyasimulia mkiwa jeuri tunakata wire wa team 4 zibaki mbili tuanze kwenda wenyewe na AzamKwa mara ya kwanza, Del Bosque anatimuliwa Madrid, alishindwa kubeba ligi ingawa alienda uefa.
Nafasi ya pili au ya tatu kwa huku kwetu haina maana yoyote kama hukuwahi kuwa nafasi ya 3 ila pia nafasi ya pili hiyo haikukupa mafanikio yoyote kwenda klabu bingwa, ni sawa na kuwa na elimu ya msingi ya lazima!
Mafanikio ya pointi za Simba iliipa TZN nafasi ya kupeleka timu mbili, Yanga alibebekea hapo! Ila misimu minne ya Msoga, Yanga hakuweza kuleta nafasi hiyo na hakuwahi kufanya lolote kule.
Mjomba Mimi ni simba damu ila yanga ukiichukia Sasa hivi unapoteza mda wako tu mzee 🤣🤣🤣🤣Kwa mara ya kwanza, Del Bosque anatimuliwa Madrid, alishindwa kubeba ligi ingawa alienda uefa.
Nafasi ya pili au ya tatu kwa huku kwetu haina maana yoyote kama hukuwahi kuwa nafasi ya 3 ila pia nafasi ya pili hiyo haikukupa mafanikio yoyote kwenda klabu bingwa, ni sawa na kuwa na elimu ya msingi ya lazima!
Mafanikio ya pointi za Simba iliipa TZN nafasi ya kupeleka timu mbili, Yanga alibebekea hapo! Ila misimu minne ya Msoga, Yanga hakuweza kuleta nafasi hiyo na hakuwahi kufanya lolote kule.
Sio suala la kukata waya, ni uwezo wa kuvuna pointi hamna!Simba ndio inapotea mkuu haya na mengine tutaendelea kuyasimulia mkiwa jeuri tunakata wire wa team 4 zibaki mbili tuanze kwenda wenyewe na Azam
Mjomba simba inapotea hata ukisemaje yanga mwakani wanatupita point za caf sijui unachobisha nini hapo au hujui kama mwakani tunashiriki shirikisho mashabiki kama wewe ndio mnafanya tunaitwa wote mbumbumbu kumbe mpo wachache tuSio suala la kukata waya, ni uwezo wa kuvuna pointi hamna!
Matajiri ni wengi kule, kibahasha cha kaki hakifui dafu!
Nina mashaka kama msimu ujao mtakuwa mmeweza kutatua changamoto mnazopitia ila ngoja tuone namna mtajitafuta mkiwa championshipSio suala la kukata waya, ni uwezo wa kuvuna pointi hamna!
Matajiri ni wengi kule, kibahasha cha kaki hakifui dafu!
Sawa, mbumbumbu ni wewe mwenyewe kabla sijasahau!Mjomba simba inapotea hata ukisemaje yanga mwakani wanatupita point za caf sijui unachobisha nini hapo au hujui kama mwakani tunashiriki shirikisho mashabiki kama wewe ndio mnafanya tunaitwa wote mbumbumbu kumbe mpo wachache tu