Matukio makubwa yaliyotikisa Nchi kwa mwaka huu: Kifo cha Hayati Mwinyi na Lowassa. Kutenguliwa kwa January Makamba na Lissu Kugombea Uenyekiti

Utekaji ..?
 
Tukio la binti wa buza kubakwa na maaskari wa tiifu wa ccm, kifo cha mzee kibao na abdir ambayo imeanza kufanya kazi mpaka tumegundua mbowe ndio chanzo cha yote maana amelamba asali na ccm awataki atoke madarakani kisa ni mwanachama mtiifu ambae kimwili CDM ila kiroho ni Ccm.
 
Umesahau tukio muhimu!
Tukio la Uchaguzi wa serikali za mitaa! Wagombea wa vyama vya Upinzani walivyoenguliwa kwa wingi nchi nzima!
Tukio ambao lilishangaza ulimwengu kwa mara nyingine na kuuthibitishia ulimwengu kuwa bila kuvuruga uchaguzi,Chama pendwa hakiwezi kukaa madarakani.
 
Uchaguzi ulikuwa wa huru na haki na ndio maana CHADEMA ilipata baadhi ya viti.kikubwa ni kufanya maandalizi mazuri.upinzani na vyama vya upinzani vilikuwa havijajiandaa kisera na kwa uchaguzi
 
We Unasahau mapema sanaa

1.Chura kiziwi
2.Kifo ni kifo tuu
3.Huyu tumwite Tundu Lisu(Simba)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…