Matukio makubwa yaliyotikisa Nchi kwa mwaka huu: Kifo cha Hayati Mwinyi na Lowassa. Kutenguliwa kwa January Makamba na Lissu Kugombea Uenyekiti

Like always katika Jukwaa la Siasa na sio Jokes wala Udaku people are discussing events..., I guess its a step from discussing people hence not fit to be labelled simpletons...

Don't get me wrong sio tatizo kama ni mara moja moja lakini nowadays this seems to be the main dish / menu being served rather than starter or desert....
 
Like always katika Jukwaa la Siasa na sio Jokes wala Udaku people are discussing events..., I guess its a step from discussing people hence not fit to be labelled simpletons...

Don't get me wrong sio tatizo kama ni mara moja moja lakini nowadays this seems to be the main dish / menu being served and not starter or desert....
Hongera kwa kuandika kizungu. Inaonyesha wewe ni Msomi kama Evelyn Salty na Mapacha wake.
 
Back
Top Bottom