Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Wadau hebu tuwekeni msimamo wa majimbo ya ubunge ya UKAWA na CCM ambayo tayari wameshachukua kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali ili tuweze kujua uelekeo wa Tanzania mpya. Kumbuka kama ni tetesi sema ni tetesi kama ni verified sema hivyo. Twende sasa................
 
Hili ndilo tunalotegemea kutoka kwenu NEC,VYOMBO VYA DOLA, VYOMBO VYA HABARI ni majibu ya kweli ya kura zetu wananchi tulizopiga jana na si vinginevyo, pamoja tunaweza
 
Kama mlivyoahidi matokeo ya viti vya ubunge na udiwani yatatangazwa baada ya masaa 24. Tunaomba mtimize wajibu wenu sasa wa kuanza kutoa matokeo. Masaa 24 yameshatimia, sisi kama wananchi tumetimiza wajibu wetu wa kuwasubiri kwa utulivu ni wakati wenu sasa wa kumaliza sintofahamu zinazoendelea
 
Kutok IRINGA MJINI Mchungaji Msigwa anaongoza kata 18. Mwakalebela mdogo mdogo kurudi mtaani.
 
Kweli Bana, watupe hayo matokeo coz watu tuna hamu ya kuyapata! Tumetii sheria zao sasa zamu yao kutekeleza majukumu yao na ahadi zao
 
Kwa ili Mbowe na wenzake watajifunza.
 
hali inavyojidhirihisha mpaka sasa hasa kanda ya ziwa magufuli amejizolea ushindi mnoono pamoja na wabunge wa ccm

hii inathibitica mikoa ya kagera,muleba,geita nk
:lock1:
 
Wadau hebu tuwekeni msimamo wa majimbo ya ubunge ya UKAWA na CCM ambayo tayari wameshachukua kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali ili tuweze kujua uelekeo wa Tanzania mpya. Kumbuka kama ni tetesi sema ni tetesi kama ni verified sema hivyo. Twende sasa................

Huku ilala mchikichini udiwani wanaongoza chadema,na ubunge wanaongoza chadema
 
Kwa ili Mbowe na wenzake watajifunza.
Mbowe ni mfanyabiasha wa kisiasa.

Amefanya biashara yake kwa sasa anashangilia!

Baada ya uchaguzi ataenda holiday kwenye moja ya nyumba zake nje ya nchi!

He's loaded!
 
DSC01737.jpg
 
hiyo ni kawaida,,waliotarajia vinginevyo walikua wamebugi,,,ila lowasa nae anajitahidi
 
Kwa taarifa tu Bukoba mjini mbunge ni Lwakatare wa Ukawa, madiwani 10 Ukawa 4 CCM.
 
Back
Top Bottom