Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Mie Makamba, Wasira, Ole sendeka, Mrema, Mwakyembe, Nape, Laughlin, Nyalandu naona kama bado vidole vinataka endelea kuandika...

Tetesi Mrema, Ole sendeka na Wassira tayari washaangukia pua
 
Wananchi watanzania wenzangu tumepiga kura ni haki yetu ya msingi na majibu ndo suluhisho la MAISHA yetu, tusubiri matokeo mbn vyombo vya habari mnakwepa uwazi wenu u wapi sasaaaa mmepigwa stop uko wapi uhuru wenu sasaaaa. Tujitokeze tukaangalie matokeo Yaliyobandikwaaaaaa, na kwa yale ambayo bado tusubiri kwa amani bila vurugu mpk tujue hatima, nina wasiwasiiiiii na vyombo vya habari sasa mbwembwe zimepunguaaaa soooo ni km wame
 
NAHISI WAMESHASOMA MCHEZO
attachment.php
attachment.php

[h=2]Magazeti ya ccm yamenywea kwa kasi ya kutisha[/h]
 

Attachments

  • DSC01737.jpg
    DSC01737.jpg
    56.5 KB · Views: 221
  • DSC01741.jpg
    DSC01741.jpg
    51.7 KB · Views: 232
Hamjui Siasa nyie ngojeni matokeo yatangazwe tukufundisheni maeneo mliokosea. Mwanahalisi wameanza lawama uchaguzi umevurugika hahahah. Siku zote timu inayoongoza huwa na kawaida ya kushusha Game fever during the match. Tangu tano kamili jana usikuTaifa limethibitisha chuki yake kwa Fisadi.
 
Kosa la Mwakyembe ni nini?au kwa sababu ya kuwa M/kiti wa tume ya Richmond?

fuatilia aliwafanyia nini waajiri wake(kyela) kimaendeleo utaelewa tu tatizo ama uzuri wa harrisom mwakyembe ni nini
 
Back
Top Bottom