Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Nzega Lowassa
 
Attachments

  • 1445811238608.jpg
    1445811238608.jpg
    39.4 KB · Views: 5,576
GOOD NEWS

FOR THE FIRST TIME SINCE INDEPENDENCE

SIMANJIRO. .CCM OUT BYE BYE OLE SENDEKA

BUNDA. ...CCM OUT BYE BYE STEVEN WASIRA

UKONGA ....CCM OUT BYE BYE JERY SILAA

MBEYA VIJIJINI. ....CCM OUT

MONDULI(THE HOME OF THE MAN,LOWASA).....CCM OUT BYE BYE NAMELOK SOKOINE

MTWARA MJINI. ....CCM OUT BYE BYE WHAT EVER

PEMBA YOOOOTE .....CCM OUT

TANGA MJINI .....CCM OUT

VUNJO ........CCM ? TLP OUT

TUNDUMA. .....CCM OUT

MIKUMI .........CCM OUT

UNGUJA .....IT'S LOADING VERY FASTER

Ongeza jimbo la ccm tulilochukua makamanda

Mkuu pemba yote ina wabunge 18 . Lakini ni kwamba walikuwa wapinzani tangia hapo . kwa hio si wapya hao. Mtwara Mjini ni ya CCM ila Tandahimba ni ya CUF
 
Itv isirahihishe au kufanyia mzaha amani na utii wa sheria,,,,

Nadhani amani kwako ni kutetea tu serikali ya ccm. Kuacknowledge kuwa kuna watu wenye busara tu za kawaida hawaridhiki na kiwango cha uongozi wa sasa.
Kutoa habari sahihi kwa haki kwako kunaashiria uvunjifu wa amani?
 
Hivi mtu kama tyson asikie TBC inamta gaza amengukia puaa na wao ndio wazee aa dolaa aka waziri!!!!
Wafanyakazi wa TBC endeleeni kutiii na kulinda ugali wa familia zenu azawaizi muwe na ujasiri na ushupavu kama Mzee Tido,
 
Pocha kama ujafanya tafiti usiongeze!! Yaani unasifia TV ambazo zinaonesha recorded, tune Azam Tv upate habari za instantly na zisizo na upendeleo! Tv zako hizo ni za mlengo wa mgombea fulani
Nasikua Azam Tv ni nzuri sana. Najipanga niwe nayo.
 
Pocha kama ujafanya tafiti usiongeze!! Yaani unasifia TV ambazo zinaonesha recorded, tune Azam Tv upate habari za instantly na zisizo na upendeleo! Tv zako hizo ni za mlengo wa mgombea fulani
Nasikua Azam Tv ni nzuri sana. Najipanga niwe nayo. Shida Azam tv haiko kwny vingamuzi vingi hadi kingamuzi chao
 
Fafanua kura feki umezikamata wapi na ni kiasi gani.Acha kutafuta huruma.

umeona huruma anayopata wspiga kura wamemwonea huruma na kumpa kura. tbc yavtaifa wakati huu wa uchaguzi kweli wanashindwa kutuhabarisha angekuwa anaongoza magufuli si wangekuwa wanarusha? shame on themhakuna haja ya kuwepo. walirusha sana matangazo ya kampeni kwa ubaguzi kumbe watz wsmewapuuza leo ndo wameona kama watu walikuwa wanawaangali au laa
 
EATV HONGERENI MNO.YOU HAVE THE REQUIRED wisdom.unaona VIJANA wamejazwa PUMZI mpaka wanashambulia gari ya allowance za VIJANA
 
umeona huruma anayopata wspiga kura wamemwonea huruma na kumpa kura. tbc yavtaifa wakati huu wa uchaguzi kweli wanashindwa kutuhabarisha angekuwa anaongoza magufuli si wangekuwa wanarusha? shame on themhakuna haja ya kuwepo. walirusha sana matangazo ya kampeni kwa ubaguzi kumbe watz wsmewapuuza leo ndo wameona kama watu walikuwa wanawaangali au laa

Wanasubiri matokeo ya tume
 
Tanga mjini ukawa wamechukua yotee .Ccm zero.tena Kwa interval ya kura nyingi.
 
Back
Top Bottom