Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Uchaguzi mkuu ni tukio kubwa kwa nchi yeyote duniani na serikali huwa zinatumia vyombo vyake vya habari kuujulisha umma nini kinaendelea kila mahali kwa usahihi na haraka.
Kituo chetu cha TV cha taifa TBC 1 kimeonyesha udhaifu mkubwa sana na aibu kwa taifa kwa kushindwa kufanya coverage mwendelezo wa kupiga kura na kutangaza matokeo nchini au hata jiji kuu la DSM pekee na kuwanyima wananchi nafasi ya kufahamu nini kinaendelea wakati kituo binafsi cha ITV kimeweza kufanya kazi hiyo kwa ufanisi mkubwa kwa saa 24.
Ni wakati sasa wa kumuondoa Mkurugenzi na Maafisa wa juu wa TBC kwa kushindwa kuwa wabunifu zaidi ya kufanya kazi kwa nisingi ya kujipendekeza. Pia ni vema kuwapongeza ITV na kwa upande mwingine AZAM (ingawa hawaonekani na watu wengi) kwa kazi nzuri.