Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Musoma mjini Vicent Nyerere Out na mh VEDASTUS MATHAYO MANYINYI wa CCM ameshinda....
Mkuu ya kweli hii?
Ukweli ni kuwa ccm na serikali yao wamejidhalilisha kwa hili. Mwanzoni tume ilisema form hizo zitakuwepo vituoni, so hakukuwa na sababu ya kusafirishwa kwenda ulipojiandikisha. Lakini cha ajabu tume wakaja na kauli kuwa hutaweza kupiga kura kwenye kituo ambacho hujajiandikisha. Huu ni undumilakuwili. Cha kushangaza nimemsikiliza kwenye media mgombea uraisi wa TLP aliejiandikishia dar ameruhusiwa kupiga kura kilimanjaro baada ya kuikomalia tume. So haki ya kupiga kula hadi kutunishiana misuli?
wew ni mjinga mjinga tu , wakati watu walikuwa wana hamisha taarifa zao wew ulikuwa wapi mbona unadhalilisha wanachuo