Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Uchaguzi mkuu ni tukio kubwa kwa nchi yeyote duniani na serikali huwa zinatumia vyombo vyake vya habari kuujulisha umma nini kinaendelea kila mahali kwa usahihi na haraka.
Kituo chetu cha TV cha taifa TBC 1 kimeonyesha udhaifu mkubwa sana na aibu kwa taifa kwa kushindwa kufanya coverage mwendelezo wa kupiga kura na kutangaza matokeo nchini au hata jiji kuu la DSM pekee na kuwanyima wananchi nafasi ya kufahamu nini kinaendelea wakati kituo binafsi cha ITV kimeweza kufanya kazi hiyo kwa ufanisi mkubwa kwa saa 24.
Ni wakati sasa wa kumuondoa Mkurugenzi na Maafisa wa juu wa TBC kwa kushindwa kuwa wabunifu zaidi ya kufanya kazi kwa nisingi ya kujipendekeza. Pia ni vema kuwapongeza ITV na kwa upande mwingine AZAM (ingawa hawaonekani na watu wengi) kwa kazi nzuri.
 
majimbo yaliyo kamilika mpaka sasa ni :
mikumi CDM

: Morogoro mjini CCM
: Karatu CDM
: Jimbo la moshi CDM
: Tarime CDM
: Bunda CDM
: Tandahimba CUF
: Arumeru CDM

kigoma mjini ACT :
mbeya mjini CDM
 
Hiyo ni tbccm wanaongoza kwa kurusha matangazo ya ccm!
 
Nzega mjini CCM
Nzega vijijin CCM
Iringa mjini CDM
Isimani CCM
Mufundi kusini CCM
Mufindi mask CCM
Bariadi magharibi CCM
Singida Mashariki CCM

Nina mashaka na matokeo yako, huku Singida mashariki si kwa Tundu Lisu?
 
ITV the Superbrand!!
Hawa jamaa wamedhihirisha uwezo coz tangu kipindi cha campaign walikuwa fair!!
Kuna wengine waliegemea upande mmmoja!!
 
GOOD NEWS

FOR THE FIRST TIME SINCE INDEPENDENCE

SIMANJIRO. .CCM OUT BYE BYE OLE SENDEKA

BUNDA. ...CCM OUT BYE BYE STEVEN WASIRA

UKONGA ....CCM OUT BYE BYE JERY SILAA

MBEYA VIJIJINI. ....CCM OUT

MONDULI(THE HOME OF THE MAN,LOWASA).....CCM OUT BYE BYE NAMELOK SOKOINE

MTWARA MJINI. ....CCM OUT BYE BYE WHAT EVER

PEMBA YOOOOTE .....CCM OUT

TANGA MJINI .....CCM OUT

VUNJO ........CCM ? TLP OUT

TUNDUMA. .....CCM OUT

MIKUMI .........CCM OUT

UNGUJA .....IT'S LOADING VERY FASTER

Ongeza jimbo la ccm tulilochukua makamanda
 
Itv isirahihishe au kufanyia mzaha amani na utii wa sheria,,,,
 
Back
Top Bottom