Wadau hebu tuwekeni msimamo wa majimbo ya ubunge ya UKAWA na CCM ambayo tayari wameshachukua kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali ili tuweze kujua uelekeo wa Tanzania mpya. Kumbuka kama ni tetesi sema ni tetesi kama ni verified sema hivyo. Twende sasa................
Mbowe ni mfanyabiasha wa kisiasa.Kwa ili Mbowe na wenzake watajifunza.