Mbowe jana kaenda Dubai
wadau kama mtakumbuka wiki chache zilizopita Azam Tv walituaminisha kuwa watatupatia habari zote za uchaguzi mkuu...nakutuaminisha kuwa wao watakua kituo chetu cha ychaguzi...pamoja na kuwa na technology ya hali ya juu tumeambulia kuonyeshwa ma graphs na m charts ya uchaguzi wa mwaka 2010 ambayo ni irrelevant kabisa....siku nzima wanarudi mambo yale yale yaani its funking boring....waandishi wao wanaogopa hata kutangaza matokeo ya udiwani na ubunge...kuna irregularities nyingi kwenye uchaguzi huu ambao wananchi tunahitaji kuyafahamu...hongera sana ITV pamoja kutokua na technology ya hali ya juu at least mnatupa walaji wenu kile tunachotarajia...kweli nyinyi ni Super Brand

Jk kakimbilia chinaLowasa jana usiku kaenda Marekani
Nchi ina Sheria na Taratibu....haiendeshwi na wanywa viroba. Mbona la Matiko wametangaza?
Anatangaza Magufuli anaongoza!Jaman kwan KAMA YALIVYOHESABIWA VITUONI, JUSTICE DELAY , JUSTICE DENIED