Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

wadau kama mtakumbuka wiki chache zilizopita Azam Tv walituaminisha kuwa watatupatia habari zote za uchaguzi mkuu...nakutuaminisha kuwa wao watakua kituo chetu cha ychaguzi...pamoja na kuwa na technology ya hali ya juu tumeambulia kuonyeshwa ma graphs na m charts ya uchaguzi wa mwaka 2010 ambayo ni irrelevant kabisa....siku nzima wanarudi mambo yale yale yaani its funking boring....waandishi wao wanaogopa hata kutangaza matokeo ya udiwani na ubunge...kuna irregularities nyingi kwenye uchaguzi huu ambao wananchi tunahitaji kuyafahamu...hongera sana ITV pamoja kutokua na technology ya hali ya juu at least mnatupa walaji wenu kile tunachotarajia...kweli nyinyi ni Super Brand

Nchi ina Sheria na Taratibu....haiendeshwi na wanywa viroba. Mbona la Matiko wametangaza?
 
Tunaomba matokeo ya kweli ma tunaimani mungu atawaongoza mtende hakiii kwa ajili ya amani ya Tanzania, amani ya nchi Hii na vurugu zako mikononi mwenu! Nadhani ndo mud umefika sasa NEC msiwe na upendeleo tupeni matokeo yetu SISI wananchi na.si vinginevyo, TUNAOMBA AMANI IWEPO
 
wadau kama mtakumbuka wiki chache zilizopita Azam Tv walituaminisha kuwa watatupatia habari zote za uchaguzi mkuu...nakutuaminisha kuwa wao watakua kituo chetu cha ychaguzi...pamoja na kuwa na technology ya hali ya juu tumeambulia kuonyeshwa ma graphs na m charts ya uchaguzi wa mwaka 2010 ambayo ni irrelevant kabisa....siku nzima wanarudi mambo yale yale yaani its funking boring....waandishi wao wanaogopa hata kutangaza matokeo ya udiwani na ubunge...kuna irregularities nyingi kwenye uchaguzi huu ambao wananchi tunahitaji kuyafahamu...hongera sana ITV pamoja kutokua na technology ya hali ya juu at least mnatupa walaji wenu kile tunachotarajia...kweli nyinyi ni Super Brand

Nyie mapimbi kila kitu ni kulalamika tuuuu...you are fankeni boring
 
Poleni wakuu ndio nchi yetu na vyombo vya habari vilivyo dhaifu
 
Yan hata mimi walikua wananiboa kweli kweli, sasa wanatupa matokeo ya mwaka 2010 nani anayahitaji??????? Hawa jamaa naona hata hawajui nini wanatz wanakitaka kwa wakati huu
 
Hii gari ilidakwa jana Moshi ikiwa na kura fake
12184306_975023365877123_9152231653286987571_o.jpg
 
Superbrand ni superbrand tu ITV wamefanya wananchi wanachokitaka azam akuna kitu porojo porojo tu na Graff za kijinga za 2010
 
Jaman kwan mwenyekiti wa nec anatangaza ubunge au maraisi tuuu?? Mbn wanatupotezea muda tu, na anadai hawajapata matokeo ya to zaidi ya ya zanzibar they are not seriously, TUKO MAKINI BWANA LETENI MAJIBU KAMA YALIVYOHESABIWA VITUONI, JUSTICE DELAY , JUSTICE DENIED
 
Angalieni azam tv na ITV mshuhudie magufuli anavyowanyoosha majimbo yaliyowasilisha
 
nec msituchore watanzania, kwa nn hamtaki kutangaza matokeo, Yaani usiku kucha ni majimbo MATATU tuuu, HUU ni.uongooooooooo uliotukukaaaaaa, mpk.sasa hakuna.imani tena nanyi
 
Ndio matokeo waliyoyapata, unataka wafanyaje? Vituoni ndo hawajatuma.
Na Dr. JPM kagalagaza kisawa sawa!
 
Back
Top Bottom