Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Hayo matokeo ya kuratibiwa na January eti itawaandaa wananchi kisaikolojia ... Wananchi wa leo shidaa ....

Ubishi mwingine ni ujinga tu sasa, kama wewe unabishana na NEC haya shauri yako. Mimi sijasikia matokeo aliyotoa Makamba, lakini nimesikia matokeo yaliyotangazwa na NEC. Kuhusu ubunge mpaka sasa CHADEMA wamepata wabunge wawili tayari ambao ni Mch Peter Msigwa Iringa mjini na Esther Matiku Tarime mjini.
 
Wanaaza majimbo aliyoongoza magu ili kuwafariji ccm
 
1. Ubungo
2. Kibamba
3.Kawe
4. Tarime mjini
5. Bunda
6. Rombo
7. Moshi mjini
8.Babati mjini
9. Babati vijijini
10. Mbalali
11. Bukoba mjini
12. Iringa mjini
13. Tunduma
14. Newala
15.Tandahimba
16. Mtwara mjini
17. Mikumi
18. Mbeya mjini
19. Kawe
20.Uvinza kwa Kafulila
 
1. Ubungo
2. Kibamba
3.Kawe
4. Tarime mjini
5. Bunda
6. Rombo
7. Moshi mjini
8.Babati mjini
9. Babati vijijini
10. Mbalali
11. Bukoba mjini
12. Iringa mjini
13. Tunduma
14. Newala
15.Tandahimba
16. Mtwara mjini
17. Mikumi
18. Mbeya mjini
19. Kawe
20.Uvinza kwa Kafulila

Kawe umeludia
 
mkoa wa mtwara wenye wapigakura 783000,magufuli anaongoza kwa kura 25984 ambayo ni sawa na asilimia 63.07 huku akifatiwa na lowassa mwenye kura 15211 sawa na asilimia 36.9 tofauti ya kura kati ya magufuli na lowassa ni kura 10773 sawa na asilimia 26.1,hii ni tofauti ndogo sana kwa ccm kujihakikishia ushindi,hasa kwenye huu mkoa wenye idadi ndogo ya wapiga kura ukilinganisha na ARUSHA,DAR,MBEYA,MWANZA,MOSHI,KILIMANJARO,NA TANGA ambapo kwa matokeo yasiyo rasmi yanaonyesha kuwa lowassa anaongoza kwa idadi kubwa ya kura ukilinganisha na hizo kura 10773 ambazo ccm inaongoza mpaka sasa
 
Anachezea akili za watu Lubuva umeshika Amani ya nchi matokeo hadi watoto wa darasa la tano wanayo ww unasema umepata majimbo matatu tuu.
 
Hii tume ya Lubuva inajaribu kucheza na akili zetu, ndio maana Zanzibar wamewawahi ZEC. Sasa wafanye vingine waone
 
Sisi tunaendelea kuiamini na kusubiri matokeo toka Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania Nyinyi Endeleeni kusubiri Matokeo Toka Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jamiiforums na Vibaraka wao. Hizi ni rasharasha tuu Mvua Kamili Inakuja na Magufuli Ndiye Rais Mpya wa Tanzania


attachment.php


attachment.php
 

Attachments

  • Untitled.jpg
    Untitled.jpg
    45.6 KB · Views: 219
  • Untitled1.jpg
    Untitled1.jpg
    43.7 KB · Views: 227
Huyu dada wa azam tv ni MSENGErema huyu yani anaonekana anajickia vbaya upinzan kuongoza
 
Mimi nimeamua kuangalia ITV na Channel ten tu kwa sababu za kupata ukweli kamili:A S crown-2:
 
Back
Top Bottom