Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

kwa hiyo unataka tupige kelele? Siai ni watu wa mikakati zaidi. Endeleeni kupiga kelele mkichoka mtanyamaza. Magufuli ushindi ni daima

ccm yaleta machafuko tanzania kupitia nec, zec na tcra
 
Dalili zote zinaonesha anakwenda kuagukia pua. Mikoa yote aliyoitegemea yaani Dar Salaam, Arusha, Kilimanjaro na Mbeya Magufuli kamkaba koo. Mikoa ya Magufuli anaambulia kiduchu. Kwaheri mzee wa Monduli.
 
....Siasa ni uvumilivu tulikubali Demokrasia ...tuiache Demokrasia itende kazi yake !!!

Earthmover safarini Tarime .....
 
Jamii forums has become an obsolete forum.
 
....

...ukivimba sanaaa katafune topaz ....ni white headed buffalo weaver angani !!!
 
ITV nimewakubali sana katika uchaguzi. Hii ni tangu kampeni zilipoanza
 
ITV nimewakubali sana katika uchaguzi huu. Hii ni tangu kampeni zilipoanza
 
duuh inauma sana..!mpaka sasa majmbo ya ILEMELA(kwa udiwan ccm=kata 16 kat ya 19) na NYAMAGANA yamerud CCM
 
wadau najiuliza ni vigezo gani vinatumika kupata majimbo? tafadhali kwa mwenye uelewa anihabarishe (case study hii hapa chini).

(Mkoa wa Kilimanjaro una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 9 ambayo ni
Hai
Siha
Moshi Mjini
Mwanga
Same Mashiriki
Same Magharibi
Moshi Vijijini
Vunjo
Rombo

Mkoa wa Arusha una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni
Arusha
Karatu
Arumeru Magharibi
Arumeru Mashariki
Longido
Monduli
Ngorongoro)
 
Katani Ahmad wa CUF ameibuka mshindi jimbo la Tandahimba kwa mujibu wa Tume
 
Niandike wakala huu, nikiwa na imani 100% kuwa, Majimbo mliyotangaza matokeo ya awali ni majimbo ambayo mnaona CCM wanaongoza na kuskip majimbo ambayo UKAWA wanaongoza,

Tunaomba matokeo ya awali kutoka majimbo mikoa ya MBEYA, MOSHI, na MWANZA ambako kuna idadi kubwa ya watu,
Asanteni.


youngsharo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom