Pelle mza
JF-Expert Member
- May 15, 2008
- 3,050
- 1,694
Khaa!! Atutakubali = Hatutakubali. Mbona kiingereza hamkosei? :eek2:
umepata uraia juzi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaa!! Atutakubali = Hatutakubali. Mbona kiingereza hamkosei? :eek2:
Wameanza kutangaza ndugu, majimbo 3 tayari na Magufuli anaongoza kwa 75% mpaka sasa. Matokeo mengine yatakuwa saa sita kamili mchana.
Hayo matokeo ya kuratibiwa na January eti itawaandaa wananchi kisaikolojia ... Wananchi wa leo shidaa ....
1. Ubungo
2. Kibamba
3.Kawe
4. Tarime mjini
5. Bunda
6. Rombo
7. Moshi mjini
8.Babati mjini
9. Babati vijijini
10. Mbalali
11. Bukoba mjini
12. Iringa mjini
13. Tunduma
14. Newala
15.Tandahimba
16. Mtwara mjini
17. Mikumi
18. Mbeya mjini
19. Kawe
20.Uvinza kwa Kafulila
Kawe umeludia