Dalili zote zinaonesha anakwenda kuagukia pua. Mikoa yote aliyoitegemea yaani Dar Salaam, Arusha, Kilimanjaro na Mbeya Magufuli kamkaba koo. Mikoa ya Magufuli anaambulia kiduchu. Kwaheri mzee wa Monduli.
wadau najiuliza ni vigezo gani vinatumika kupata majimbo? tafadhali kwa mwenye uelewa anihabarishe (case study hii hapa chini).
(Mkoa wa Kilimanjaro una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 9 ambayo ni Hai Siha Moshi Mjini Mwanga Same Mashiriki Same Magharibi Moshi Vijijini Vunjo Rombo
Mkoa wa Arusha una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni Arusha Karatu Arumeru Magharibi Arumeru Mashariki Longido Monduli Ngorongoro)
Niandike wakala huu, nikiwa na imani 100% kuwa, Majimbo mliyotangaza matokeo ya awali ni majimbo ambayo mnaona CCM wanaongoza na kuskip majimbo ambayo UKAWA wanaongoza,
Tunaomba matokeo ya awali kutoka majimbo mikoa ya MBEYA, MOSHI, na MWANZA ambako kuna idadi kubwa ya watu,
Asanteni.