Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Nassari....huyu dogo ana sifaaa....ndo kufuru gani ile kwa mfano
 

Dogo naishi kanda ya ziwa ingawa mimi ni mtu wa songea. Wasukuma mwaka huu siyo wale wa miaka ya 2005. Uchaguzi wa mwaka huu umeshehena usukuma haswa.
 
wasukuma wamebip wengine tutajibu,huo ukabila wenu tutawaonyesha
 
Hakuna siku iliyoniuma kama siku ile mwanza vijana walionunuliwa na fisadi lowasa wakapangwa mtaani na kumsubiria rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Magufuli wakaanza kumzomea. We ngoja lazima watuheshimu tu
 
22. Peter msigwa CDM iringa
23. Tandahimba limekwenda CUF
24. Njombe kulijibu CCM
25. Mnyika CDM
26. Gekul CDM
27. Mutungirehi CDM
28. Prof. J CDM
29. Makambako CCM
30. Wangingombe CCC
31. Lupembe CCM
 
Tatizo elimu nyie ndg zangu wasukuma bado sana! Mnaangalia ukabila daa! Shida sana dudendelea gete nahene!

hivi lowasa asingekua mkaskazini angepewa nafasi ya kugombea
urais cdm? ukabila ni kwa wengine tu kwenu aaaaaaah
 
sasa vaa halafu uone kama kuna mtu hata moja atazomea. Wamesha pata adabu yao.
 
Miongoni mwa yale majimbo yaliyotangazwa, yapo majimbo ya Pemba ambayo Lowasa anaongoza kwa zaidi ya asili,ia 80. Pia kuna jimbo la Joshua Nassari ambalo CHADEMA wameongoza kwa kura nyingi. Kimuhemuhe cha nini?

Eti wao UKAWA wanataka kusikia wameongoza koooote! hivi hizi ni busara za wapi jamani wakati huu ulikuwa mchezo wa kushindana?
 
Hakuna siku iliyoniuma kama siku ile mwanza vijana walionunuliwa na fisadi lowasa wakapangwa mtaani na kumsubiria rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Magufuli wakaanza kumzomea. We ngoja lazima watuheshimu tu
Unaakili ndogo sana utakuwa msukuma unaleta ukabila hapa. Unadhani unachokipata toka ccm wao watakikosa kama tabu wote kama shida wote sasa kitawauma nini watu kama nyie ndo wazuia maendeleo
 

Mimi nimewahi kuitwa mchawi kwa sababu ya imani yangu kwa chama cha mapinduzi
 
Kwakweli wasukuma walitangaza wampigia msukuma mwenzao..itabidi tuandae muhaya..ngoja tumuandae Dr Rwekaza mukandala..
 

Makamanda wesambaratika kama Russia
 
Ninaujasiri mkubwa kuwa aliyeshinda kihalali ndiye atakayekuwa rais wetu, Mungu hajalala tusife moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…