Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Debe tupu ndio huwa linapiga makelele sana. Lakini siku ya kiyama lazima UKAWA wasaliti amri na kufunga virago warudi kuchunga Ng'ombe.
 
Pole sana mkuu, ila usitambe sana utawatia hasira wakaanza kukuzomea tena. Kajipange naO wafurahi, umeshinda ubunge nn au ulikuwa mpiga debe? Magufulikasema wetu wooote.
 
Matokeo yote yaliyotangazwa na tume haya hapa

1. Makunduchi
Magufuli 8,406 - 81.20%
Lowasa 1,769 - 17.09%

2. Paje
Magufuli 6,035 - 75.00%
Lowasa 1,899 - 23.60%

3. Lulindi
Magufuli 31,603 - 71.28%
Lowasa 11,543 - 26.03%

4. Pwani - Kibaha Mjini
Magufuli 34,604 - 57.15%
Lowasa 25,448 - 42.03%

5. Bumbuli Tanga
Magufuli 35,310 - 80.23%
Lowasa 7,928 - 18.01%

6. Mtwara - Ndanda
Magufuli 33,696 - 62.34%
Lowasa 19.017 - 35.18%

7. Katavi - Nsimbo
Magufuli 31,413 - 83.18%
Lowasa 6,042 - 15.99%

8. Kusini Pemba - Kiwani
Magufuli 1,661 - 26.91%
Lowasa 4,229 - 68.51%

9. Kask Unguja - Kiwengwa
Magufuli 3,317 - 73.30%
Lowasa 1,104 - 24.40%

10. Donge
Magufuli 5,592 - 83.69%
Lowasa 1,019 - 15.99%

11. Chambani
Magufuli 818 - 12.90%
Lowasa 5,319 - 83.90%

12. Mtambile
Magufuli 902 - 12.99
Lowasa 5,875 - 84.58

13. Mkoani
Magufuli 3,341 - 30.43%
Lowasa 7,368 - 67.10%

14. Kojani - Kask Pemba
Magufuli 1,561 - 13.21%
Lowasa 9,982 - 84.50%

15. Wete - Kask Pemba
Magufuli 958 - 15.50%
Lowasa 5,119 - 82.80%

16. Gando - Kask Pemba
Magufuli 881 - 12.74%
Lowasa 5,903 - 85.34%

17. Mtambwe - Ksk Pemba
Magufuli 428 - 5.70%
Lowasa 6,937 - 92.33%

18. Mgogoni - Ksk Pemba
Magufuli 710 - 9.59%
Lowasa 6,506 - 87.91

19. Kisarawe Pwani
Magufuli 24,076 - 63.36%
Lowasa - 13,093 - 34.44%

20. Mbinga Mjini
Magufuli 29,295 - 70.44%
Lowasa 11,695 - 28.12%

21. Manyamba - Mtwara
Magufuli 24,904 - 58.21%
Lowasa 16,992 - 39.72%

22. Moshi Mjini
Magufuli 28,909 - 36.23
Lowasa 49,088 - 61.88

23. Mkinga Tanga
Magufuli 23,798 - 59.81
Lowasa 15.142 - 38.06

24. Peramiho Ruvuma
Magufuli 32,505 - 73.20%
Lowasa 11,291 - 25.43

25. Njombe Mjini
Magufuli 33,626 - 61.59%
Lowasa 20,368 - 37.31

26. Singida Mjini
Magufuli 36,035 - 64.98%
Lowasa 19,007 - 34.27%

27. Lindi Mjini
Magufuli 21,088 - 54.10
Lowasa 17,607 - 46.xx%

- Jumla ya majimbo up to now = 27 Kati ya 265
- Jumla Magufuli - 455,472
- Jumla Lowasa - 307,290
Tofauti ya kura - 148,182
Matokeo mengine yatatangazwa saa tatu kesho asubuhi
 
Hongera sana kwa viongozi wa CCM kwa kushinda.
Natumainii safari hii wananchi nao watanufaika na ushindi wenu.
 
Wanywa viroba ni wasanii, walijua wanatumiwa kwa maslahi binafsi. Hawakwenda kupiga kura! Mliwatumia kuwazomea hata wazee na watu wenye heshima zao walioonyesha kuikubali CCM, laana imewapata! kwani kwenu nyie Siasa au itikadi ni nini? Mbona ktk itikadi zetu za dini hatuzomeani japo kila mmoja anajiona yupo sahihi? Wazee na sisi tunaojitambua tumewanyoosha kwenye sanduku la kura. Mtaani sasa kimya!! Heshima imerejea. Kweli Ngoma ya watoto haikeshi.
 

Mimi sitaacha kuwazomea maana ndio nawajenga na upande wa zanzibar sijui
 

Kumbe Tupo Wengi? Hunizidi Mimi Mkuu Yaani Ngoja Alhamisi Dr. Magufuli Atangazwe Rasmi TUTAHESHIMIANA Tu Humu.
 

....the game is not over Joh....
 
Sasa ivi tumeanza kukimbiana sasa hata zile Post nyingi za mihemko sizioni tena yaani wapo kama Hawapo wamekuwa wapole ghafla jamani!!!! Ukiwa una anza kutanda ndani ya Ukawa
 
Sasa ivi tumeanza kukimbiana sasa hata zile Post nyingi za mihemko sizioni tena yaani wapo kama Hawapo wamekuwa wapole ghafla jamani!!!! Ukiwa una anza kutanda ndani ya Ukawa

Mkuu na bado! mbona watakimbia wengi humu?
 
Kuna mzungu aliwahi kusema hivi.......

one cries because one is sad. For example, I cry because others are stupid and it makes me sad.

Nimeshindwa kuiweka kwa kiswahili ila kuna kitu kimenifanya nihuzunike baada ya kupitia huu uzi.
 

Unasemaje????
 
Ulizomewa, umezomewa na utaendelea kuzomewa mpaka uachane na hiyo rangi
 

Wewe ni mangi, afu c mlisema watu wanajitambua na mmebomoa ngome za CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…