Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Mkoa wa kilimanjaro ukawa ina majimbo saba kati ya tisa.
 
Chadema wamepoteza majimbo mengi Sana.wanaona aibu kutangaza.
 
Mkuu hiyo Kyera ni ya Mwakyembe yule msomi aliyejivua nguo kwenye Richmond?
Hiyi hiyo mshamba kaxi kubwabwajika hovyo tu. Haina lo lote mijizi tu. Shen#$$#%*&% type zao wote na huyo kitezi d .u.
 
Hongera Halima Mdee!!!!!

CHADEMA 107,989 CCM 90,145

Tofauti ya kura 17,844

Sauti ya Zege!✌✌✌✌✌
Bado kata 1


HIYO KATA MOJA SI AMWACHIE TU KAPPA WARIOBA KAMA MCHANGO WA RAMBIRAMBI????

mkuu hembu nipe uhakika aisee maana hawa team kippi Jana wametutukana sana aisee yule mtoto wa mama lwakatale alieshinda udiwani aliwanywesha watu pombe wakawa wanatukana balaa.

sasa hembu nipe uhakika tumenyanyasika sana kuna ----- alinambia niweke jiwe yeye anaweka elfu 40 sasa kama ni kweli nataka nitafute jiwe kubwa sana nikodi bajaji au kiford nikalibwage mlangoni kwake ofisini ili ahangaike nalo.
 
Arumeru magharibi ni Gipson Mesyeki -chadema.alikuwa anasubiri kubandikwa kwa kura za uraisi ili atangazwe rasmi,kafyeka majani kwa mshindo mkuu!
 
Mahatma Gandhi katika kitabu chake kiitwacho, The Story of My Experiments With Truth akiwahi kuandika, ''The seeker after truth should be humbler than the dust. The world crushes the dust under its feet, but the seeker after truth should so humble himself that even the dust could crush him. Only then, and not till then, will he have a glimpse of truth''.

Being humble is one of the most important qualities of leadership!

Kuna viongozi wengi tu nchini ambao historia yao katika kulitumikia taifa haina madoa lakini kwa vile walikuwa wanyenyekevu kwa wananchi wao, hawakutaka kukubali kubebwa kama hawa viongozi wetu.

Nilipoziona hizi picha zilinipa maswali mengi sana kuhusu aina ya fikra za viongozi wetu wa kesho nchini. Sikufahamu pia kama kuna watanzania wengi ambao wana uwezo wa kuangalia, kuchuja na kutoa haki kulingana tabia, mwenendo na utendaji wa viongozi wetu.

Picha kama hizi nilikuwa ninaziona wakati wa wakoloni, wafalme wa kale na kwenye utawala wa Idd Amin nchini Uganda. Historia inatuambia viongozi wa aina hii walipotea kisiasa haraka sana!

Inadhihirisha Wananchi wapiga kura wengi hawakupendezwa na aina hii ya viongozi (Wenje & Lembeli) ndiyo maana wameamua kwa haraka kuwastaafisha kisiasa kupitia sanduku la kura.

Kwa fikra hizi ndiyo maana Maandiko ya Mungu yalikemea na kusema, ''ajikwezae hushushwa na ajishushae hukwezwa."

CSQGrYJWwAAkWdB.jpg

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kahama, James Lembeli akiwa amebebwa kama walivyokuwa wanafanya enzi za wakoloni.
wenje.jpg

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Ezekiel Wenje akiwa amebebwa kama alivyokuwa anafanya Idd Amin

I call this a boo boo analysis... Unatakiwa kabla ya kuandika hiki ujiulize kwanza whether ushindi wa Mwanza was based on free and fair election. Uchaguzi huu umeongozwa sana na miongozo ya wakuu wa mikoa na wilaya na wakurugenzi wakitumia jeshi la polisi kama kinga yao. Ndio kumbe utaona hii propaganda ya Amani Amani.. Watu wakae majumbani amri ambayo pia imeshinikizwa na mahakama tafasiri yake ni ili kufanikisha uchakachuaji wa kura. Kukamatwa kwa mabox yenye kura zilizopigwa tayari siku kabla ya uchaguzi ktk mikoa zaidi ya mitano ni sample tosha kwamba kila jimbo la uchaguzi mchezo huu ulifanyika na ina suggest kwamba ambako hayakukamatwa yalifanikiwa kupita. Na nikahisi kabisa hizo kura zinazoandikwa zimeharibika ndio bao lenyewe. Kwa kifupi, hicho kilichofanyika, nguvu ya polisi na mahakama, vitisho toka kwa raisi na viongozi mbalimbali iliyotumika ni ishara tosha ya tyranny governments. Hapa sasa tutaona madhara ya kuongoza jamii ambayo majority hawaisupport utawala. Hapajakuwepo maendeleo ktk serekali ambayo imeundwa through unfair election process. Haki haiwezi kuwepo maana hata vyombo vilivyopo vya kutoa haki ni puppet wa serekali.
 
Kaliua pia Kapuya kashindwa limeenda CUF
 
Chadema wamepoteza majimbo mengi Sana.wanaona aibu kutangaza.

Bila Kusahau Kwamba MWANAMUME Dr. MAGUFULI Anawatimulia Tu Vumbi. Yaani Naisubiri Kwa Hamu Sana Alhamisi Saa 3 Asubuhi Labda Nife Leo Hii!
 
Tunasubiri updates zaidi. Mazingira magumu katikati ya magoli ya mkono ya wazi kabisa
 
Poleeni sana Mwanza.
Ukweli ni kuwa hamjasafisha Jiji . Mlichofanya ni sawa na mtu anafanya usafi chumba cha kulala halafu UCHAFU anausukumia chini ya mvungu wa kitanda. Hivo uchafu uko palepale.

Walichofanya wanamwanza ni kuuwa kunguni na si kuchoma kitanda.
 
Mdee sasa mda wake wa kuolewa na kukuna nazi ndani umewadia.Mjengoni hakumuusu tena.Ole wao wale wote wanaogeuza ubunge kama ajira zao za kudumu.Sasa mkatafute kazi nyingine.
ebu uwe unatumia akili kabla ya kuandika bhana, umejidharaulisha sana hapa yaani umeonekana kama TP.
 
Back
Top Bottom