Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ifakara CDM
wameishatangaza usiku jana!
Halima mdee out
Mbulu mjini kuna utata wakura 36 ya ushndi
lembeli alijidai yeye ni ukoo wa chief kwa hiyo ndio hiyo mentality ya kubebwa kama idd amin. hii kitu watu kujiita chief na kukubalika sio dalili nzuri. nyerere alizika uchifu lakini sasa kuna dalili ya uchifu kujifufua. watu tukatae hata mtu kujiita chief kwa sababu ni kichocheo cha utamaduni wa kuridhishana madaraka.Mahatma Gandhi katika kitabu chake kiitwacho, The Story of My Experiments With Truth akiwahi kuandika, ''The seeker after truth should be humbler than the dust. The world crushes the dust under its feet, but the seeker after truth should so humble himself that even the dust could crush him. Only then, and not till then, will he have a glimpse of truth''.
Being humble is one of the most important qualities of leadership!
Kuna viongozi wengi tu nchini ambao historia yao katika kulitumikia taifa haina madoa lakini kwa vile walikuwa wanyenyekevu kwa wananchi wao, hawakutaka kukubali kubebwa kama hawa viongozi wetu.
Nilipoziona hizi picha zilinipa maswali mengi sana kuhusu aina ya fikra za viongozi wetu wa kesho nchini. Sikufahamu pia kama kuna watanzania wengi ambao wana uwezo wa kuangalia, kuchuja na kutoa haki kulingana tabia, mwenendo na utendaji wa viongozi wetu.
Picha kama hizi nilikuwa ninaziona wakati wa wakoloni, wafalme wa kale na kwenye utawala wa Idd Amin nchini Uganda. Historia inatuambia viongozi wa aina hii walipotea kisiasa haraka sana!
Inadhihirisha Wananchi wapiga kura wengi hawakupendezwa na aina hii ya viongozi (Wenje & Lembeli) ndiyo maana wameamua kwa haraka kuwastaafisha kisiasa kupitia sanduku la kura.
Kwa fikra hizi ndiyo maana Maandiko ya Mungu yalikemea na kusema, ''ajikwezae hushushwa na ajishushae hukwezwa."
![]()
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kahama, James Lembeli akiwa amebebwa kama walivyokuwa wanafanya enzi za wakoloni.
![]()
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Ezekiel Wenje akiwa amebebwa kama alivyokuwa anafanya Idd Amin
Ameshinda wacha ujinga, Kwani mtoto wa watu kakukosea nini?
Mshindi ameshatangazwa mkuu na msimazi wa uchaguzi
Nani ameshinda?Mshindi ameshatangazwa mkuu na msimazi wa uchaguzi
katangazwa nan?