Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Unaonaje Ukituwekea Pia Na Ya CCM Tena Ukianzia Na Ya Urais Hadi Ktk Mtiririko Wako Huo?

Hiyo inaonyesha jinsi gani nyie ni overall losers so far,hapo ni zaidi ya 90% yalikua majimbo yenu au ni majimbo mapya yote mmepoteza.
 
Baada ya magwiji wa siasa za upinzania Augustino Mrema na Momose Cheyo kushinda kurudi bungeni, nafasi zao sasa zitachukuliwa rasmi na Zitto Zuberi Kabwe.
Mkuu, ACT imeshinda majimbo mangapi ? Hao hawakuwa Wapinzani bali Mamluki.
 

Namba 42 mkuu Fanya editing. Hamna jumbo LA ifakara. Kuna kilombero ambalo mbunge mteule Peter Lijualikali
 



yes ni kweli kabisa, binafsi naamini huyu mzee kashinda, au ni 50 by 50
 
1. Agrey mwamry-ccm
2. Kafulila-nccr mageuzi
3. Mkosamali-nccr mageuzi
4. Wenje - chadema
5. Baruani - cuf
6. Vincent nyerere-chadema

Sijui nyie wenzangu ni wabunge gani mtawamiss sana bungeni?

Mkosamali. Nitammiss sana aisee
 
Lowassa Akiingia Madarakani Jambo la kwanza TBC Iangaliwe Upya Kwa Kuwapumzisha Baadhi ya watendaji. Its shame

Kuona TV ya Taifa Ikionyesha Katuni...Duuh!!! Only in Tanzania.

Ha ha eyi lowassa akiingia madarakani,madaraka gani labda ya kuwa mwkt wa chagadema
 
Hamna haja ya kulaumiwa kwa vyombo vya habari eti wanaonyesha pacha zq watu wanapigwa, yes ni Nzuriii Ili watz waone ni kwa jinsi gani NEC wanavyochelewesha matokeo wanaadhiri Hali ya amani Tanzania.
 
Kwa nini hawatamgazi majimbo ya kawe na mengine ya dsm? Wanataka kuiba?
NEC ya ccm tutegemee haki itendeke?
Ccm ni kama mkoloni au kaburu hawezi kutoka kirahisi. I m telling you

Dar hakuna anayekubali kushindwa kirahisi na matokeo ya Ubunge yana impact kubwa sana kwenye kura za urais
 
Bila Kusahau Kwamba MWANAMUME Dr. MAGUFULI Anawatimulia Tu Vumbi. Yaani Naisubiri Kwa Hamu Sana Alhamisi Saa 3 Asubuhi Labda Nife Leo Hii!

Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu hutakufa ndg, ila endelea kumuomba Mungu upate kuishudia hiyo siku na nyingine nyingi zaidi.
 
Hamna haja ya kulaumiwa kwa vyombo vya habari eti wanaonyesha pacha zq watu wanapigwa, yes ni Nzuriii Ili watz waone ni kwa jinsi gani NEC wanavyochelewesha matokeo wanaadhiri Hali ya amani Tanzania.

Matatizo mengine watu wanajitakia.Kalale waachie mawakala na wagombea wayamalize.Kinachokupeleka kituo cha kuhesabu kura ni nini? Wakati wewe si wakala wala mgombea? Si uendelee na shughuli zako? Au wewe ni wale wasio na cha kufanya kazi kuponea tuhela twa wagombea?
 
Bila Kusahau Kwamba MWANAMUME Dr. MAGUFULI Anawatimulia Tu Vumbi. Yaani Naisubiri Kwa Hamu Sana Alhamisi Saa 3 Asubuhi Labda Nife Leo Hii!

yaani mkuu hunifikii mimi kwa jinsi navyosubiri...nilitukanwa majina yote hadi nikaitwa shoga mse.nge kwa kumpigia debe magufuli...Mungu amejibu maombi ya wengi wema....na siku ya kuapishwa lazima nitie timu taifa.....kuna kitu cha kipekee ambacho sijawahi fanya itabidi nifanye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…