Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonaje Ukituwekea Pia Na Ya CCM Tena Ukianzia Na Ya Urais Hadi Ktk Mtiririko Wako Huo?
Mkuu, ACT imeshinda majimbo mangapi ? Hao hawakuwa Wapinzani bali Mamluki.Baada ya magwiji wa siasa za upinzania Augustino Mrema na Momose Cheyo kushinda kurudi bungeni, nafasi zao sasa zitachukuliwa rasmi na Zitto Zuberi Kabwe.
1. Moshi Mjini -CDM
2. Moshi vijijini-CDM
3. Rombo-CDM
4. Same Mashariki- CDM
5. Hai -CDM
6. Siha- CDM
7. Vunjo -NCCR
8. Arumeri Mashariki-CDM
9. Monduli-CDM
10. Simanjiro- CDM
11.Karatu -CDM
12. Kawe-CDM
13. Ubungo- CDM
14. Kibamba- CDM
15. Mbeya Mjini- CDM
16. Iringa Mjini - CDM
17. Bunda-CDM
18. Tarime Mjini- CDM
19.Tarime Vijijini- CDM
20. Rorya -CDM
21. Serengeti- CDM
22. Singida Mashariki-CDM
23. Mtwara mjini-CUF
24.Ndanda-CDM
25.Ukonga-CDM
26. Babati-CDM
27. Bukoba mjini-CDM
28. Kyerwa-CDM
29. Tandahimba-CUF
30. Tunduma-CDM
31. Momba-CDM
32.lupembe-CDM
33. Kyera-CDM
34. Tanga mjini -CUF
35. Mbalali-CDM
36.Mikumi-CDM
37. Kigamboni-CUF
38. Babati vijijini-CDM
39. Kigoma mjini-ACT
40. Kibondo kwa Chiza-CDM
40. Mchinga-CUF
41.Kirombero-CDM
42. Ifakara-CDM
43. Mlimba-CDM
44. Kariuwa -CUF
45.Mbulu-CDM
Kwa mara ya kwanza tangu kupata uhuru nchi yetu imeonekana kwenye vyombo vya kimataifa,kwa mara ya kwanza Afrika na Dunia imeongea kuhusu Tanzania
Baba kazi uliyofanya kwa kujitolea ni kubwa kuliko hata ya Urais,japo bado tunasubiri matokeo lakini hata kama ukishindwa umefanya kazi kubwa sana ya kutangaza mchi yetu kwa mara ya kwanza tangu uhuru,
mimi nimefarijika baada ya kuona vyombo vya kimataifa kama CNN wakisema ni uchaguzi wa century haujawahi kutokea
umeongeza ushawishi na ari kubwa ya kupiga kura na kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu tumejitokeza 77% ukilinganisha na 33% iliyojitokeza 2010
Baba tunakupenda na kazi uliyofanya tutaiheshimu milele hata kama hatutashinda!
Akili yako iko sawa kweli? Naona unapingana na ukweli.
1.Kilango
2.Kebwe
3.Tyson
4.chiza
5.Kagasheki
etc... Mpaka hapo ni wangapi?
Huyo ndio mbadala wa cdm uchaguzi ujao watachukua viti vingi sana vya ubunge
1. Agrey mwamry-ccm
2. Kafulila-nccr mageuzi
3. Mkosamali-nccr mageuzi
4. Wenje - chadema
5. Baruani - cuf
6. Vincent nyerere-chadema
Sijui nyie wenzangu ni wabunge gani mtawamiss sana bungeni?
mamluki kama Zito,ACT wamepewa zawadi ya jimbo na mpenzi wake CCMMkuu, ACT imeshinda majimbo mangapi ? Hao hawakuwa Wapinzani bali Mamluki.
sijui ni sababu gani iliyomfanya watu wake wasimchagueMkosamali. Nitammiss sana aisee
Lowassa Akiingia Madarakani Jambo la kwanza TBC Iangaliwe Upya Kwa Kuwapumzisha Baadhi ya watendaji. Its shame
Kuona TV ya Taifa Ikionyesha Katuni...Duuh!!! Only in Tanzania.
Chama alichohamia watu hawakiaminisijui ni sababu gani iliyomfanya watu wake wasimchague
Unaonaje Ukituwekea Pia Na Ya CCM Tena Ukianzia Na Ya Urais Hadi Ktk Mtiririko Wako Huo?
Kwa nini hawatamgazi majimbo ya kawe na mengine ya dsm? Wanataka kuiba?
NEC ya ccm tutegemee haki itendeke?
Ccm ni kama mkoloni au kaburu hawezi kutoka kirahisi. I m telling you
Bila Kusahau Kwamba MWANAMUME Dr. MAGUFULI Anawatimulia Tu Vumbi. Yaani Naisubiri Kwa Hamu Sana Alhamisi Saa 3 Asubuhi Labda Nife Leo Hii!
Hamna haja ya kulaumiwa kwa vyombo vya habari eti wanaonyesha pacha zq watu wanapigwa, yes ni Nzuriii Ili watz waone ni kwa jinsi gani NEC wanavyochelewesha matokeo wanaadhiri Hali ya amani Tanzania.
Bila Kusahau Kwamba MWANAMUME Dr. MAGUFULI Anawatimulia Tu Vumbi. Yaani Naisubiri Kwa Hamu Sana Alhamisi Saa 3 Asubuhi Labda Nife Leo Hii!
Jiulize kwanza waliKuwa na majimbo mangani na sasa wamebaki na mangapi.Chadema wamepoteza majimbo mengi Sana.wanaona aibu kutangaza.