Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Hatimaye Godfrey Zambi wa CCM ambaye ni naibu waziri wa kilimo amebwagwa na Yohana wa Chadema huko Mbozi mashariki.

Mdee na Mnyika wamefanikiwa kutetea viti vyao.

Mshindi anaitwa Pascal Haonga
 
zambi za god zambi za kutotumikia watu vizuri ndizo zimemstaafisha ubunge
 
Kwa Kafulila nako mambo bado mgombea wa CCM Bibi Hosna Mwilima amekataa kusaini anataka kura zihesabiwe upya akiungwa mkono na mkuu wa mkoa na wa WILAYA na polisi
 
Hongera Mnyika na Mdee nyie ni
makamanda halisi!
 
hatimaye godfrey zambi wa ccm ambaye ni naibu waziri wa kilimo amebwagwa na yohana wa chadema huko mbozi mashariki.

Mdee na mnyika wamefanikiwa kutetea viti vyao.

viva makamanda. Ni ushindi kwa kwenda mbele.
 
Sitii neno.
 

Attachments

  • 1445940300648.jpg
    1445940300648.jpg
    11.2 KB · Views: 445
Huyo alikuwa ni waziri mzigo

Jingalao mzee wangu...sisi wananchi hatujali CCM au Ukawa kuchukua nchi...Tatizo uadilifu..na haki ktk Uchaguzi.....Uchaguzi huuni Aibu kwa chama Tawala..!!!Kwa wizi wa kura....HIVI MAGUFULI si itabidi alipe fadhila kwa waliomuweka madarakani!!! Ataweza kweli kurudisha rasimu ya katiba ya warioba...ili Taifa liwe na maendeleo kwa jumla badala ya watu wachache..?.Muheshimiwa Magufuli ataweza maamuzi magumu kwa ajili ya Taifa sio Ccm au Ukawa..ni kwa ajili ya TAIFA LA TANZANIA...Hii slogani ya HAPA KAZI TU..Inataka maamuzi MAGUMU ...JE bwn Magufuli ataweza kutimiza Ahadi Zake...???Tusiwe washabiki tu???
💥Mungu ibariki Tanzania...Mungu Tuongoze sisi Wanadamu ktk Haki na uadilifu wako💥
 
Back
Top Bottom