Jf habari...!!
Hii SIRI wabunge wengi wa UKAWA hawakushtukia...!!!
UKIRUDIA KUHESABU KURA kupitia mabox, yale mabox unakuta yameshachakachuliwa... sbb yanakuwa chini ya Mkuu wa Mkoa, au Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Halmashauri...!! So, wanachakachua za UBUNGE pale pale, Ukirudia kuhesabu kupitia mabox, UNASHINDWA HARAKA SANA...!!! NDICHO kilichowakuta WENJE na KIWIA...!!! Pia LUCY wa KIGAMBONI...!!!
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
So, njia pekee ya KURUDIA KUHESABU KURA NI KUPITIA FOMU ZA MAWAKALA TU...!!! Fomu za NEC, zilizo na matokeo kutoka kila KITUO, zina KURA HALALI NA SAINI ZA MAWAKALA WOTE...!!! So ndio njia pekee na sahihi, KUHESABU KURA KWA MARA YA PILI IKIWA MNATAKA KURUDIA.. NI KUTUMIA FOMU TU...!!! sbb FOMU HAIWEZEKANI KUCHAKACHUA...!!!
👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆
Nimeahangaa sana wabunge wengi hadi Nyerere KUKUBALI KURUDIA KUHESABU kura kupitia MABOX KWA
kwa mara ya pili... yale MABOX yako chini ya CCM baada ya kuhesabiwa... so wanachakachua...ukikubali tu KURUDIA KUHESABU KURA KUPITIA MABOX, UKAWA wanaanguka...!!!
Poleni, Wenje, Kiwia, Nyerere, Lucy wa Kigamboni etc...!!!!
Lazima mtumie fomu zenu za matokeo tu kurudia kuhesabu KURA... si vinginevyo...!!!
Ukawa, ni mpango wa Mungu...!!!