UKAWA.... UKAWA... UKAWA..!!
MAJIMBO 3 ya Dar, Ilala, Segerea, na Kigamboni ambazo zimeenda CCM, ni kosa la UKAWA... wamesimamisha wagombea wawili wawili, na wagombea kukaidi MAKUBALIANO YA UKAWA...!!
Mfano Kigamboni...Lucy, CDM alipendekezwa na UKAWA...Ila mgombea wa CUF akakomaa.. ana Mgombea wa CCM, ameshinda kwa kura kidogo tu, so mgombea wa CUF angetii AMRI ya UKAWA.. LUCY angeshinda..!!!
Hivyo hivyo... SEGEREA... MTATIRO WA CUF.. angeshinda, ndio kapendekezwa na UKAWA... ila DADA WA CDM kakataa kutoa ushirikiano..
na Mtatiro kashindwa kidogo sana na BONA wa CCM... ungeunganisha kura zao za UKAWA...MTATIRO angekuwa mbunge wa Segerea...!!! Nasikia mgombea wa CDM anatropia alitumika na CCM... kugawa kura..!!
Vile vile, mgombea wa ILALA... Hassanali CDM, angeshinda....ila Mgombea wa CUF alikaidi AMRI YA UKAWA..hivyo Zungu, CCM kashinda kwa kura chache sana sanaaaa...!!!
Na kwingineko nchini... UKAWA wanatakiwa watoe ADHABU kwa wale WAGOMBEA AMBAO WAMEKAIDI na kusababisha kukosa USHINDI...!!!
UKAWA ni ya KUIMARISHA ZAIDI...!!!