moniquesemakula
Member
- Jul 29, 2015
- 24
- 4
Hatimaye Godfrey Zambi wa CCM ambaye ni naibu waziri wa kilimo amebwagwa na Yohana wa Chadema huko Mbozi mashariki.
Mdee na Mnyika wamefanikiwa kutetea viti vyao.
Kwa mfano mwamry nilikuwa napenda sana ile sauti yake ya msisitizo, alikuwa anaongea harafu anasema mh. Spika sauti hii isiwatishe ni msisitizo tu.
Wameshatangaza? Mana tatizo liko hapo tu
Wametangaza mkuu! Worry out.Wameshatangaza? Mana tatizo liko hapo tu
hatimaye godfrey zambi wa ccm ambaye ni naibu waziri wa kilimo amebwagwa na yohana wa chadema huko mbozi mashariki.
Mdee na mnyika wamefanikiwa kutetea viti vyao.
Huyo alikuwa ni waziri mzigo
Wametangaza mkuu! Worry out.
Hongera Mnyika na Mdee nyie ni
makamanda halisi!
Bado hawajatangaza mkuu......(Kawe na Kibamba), Mdee yupo LIVE Azam TV sasa hivi......
Wametangaza mkuu! Worry out.
Huyo alikuwa ni waziri mzigo