Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Kuna mambo yananipita mwenzenu samahani; nimekuwa nikisikia jimbo a Kawe na Kinondoni hakijaeleweka, au?
 
Leo ni siku ambayo ngome za CCM zitatikishwa sana.

Baada Ya Majimbo 27 ambayo ni ngome ya CCM Kuhesabiwa, Kati ya 256, Kwa Kifupi Msimamo Uko Hivi:-
MAGUFULI- 455,472
LOWASSA- 307,290
WANAMABADILIKO TUNAZIDIWA KURA-148,182 (Kura Laki Moja na Elfu Arobaini na Nane Mia Moja na Themanini na Mbili)
Tuko Vizuri Sana!!!
 
1. Agrey mwamry-ccm
2. Kafulila-nccr mageuzi
3. Mkosamali-nccr mageuzi
4. Wenje - chadema
5. Baruani - cuf
6. Vincent nyerere-chadema

Sijui nyie wenzangu ni wabunge gani mtawamiss sana bungeni?
 
Tatizo ukawa walitoa elimu ya kulinda kura hawakutoa elimu ya kupiga kura,mi nimesimamia zoez la kupiga kura,watu wanatafuta ukawa,wakikosa wanapigia chama chochote,au anachora chora kwa hasira anatoka
Wengi ni vijana waliohemkwa kwani walikuwa wakikunja nje ndani wakidai kuwa wamefundishwa kukunja ki ukawa

Yaani inakera sana. Waliwekeza zaidi katika kujaza mikutano badala ya kujumlisha na kipengele cha elimu ya kupiga kura, matokeo yake bodaboda wengi na vijana wameharibu sana kura ambazo pengine zingekuwa zao na sasa hawataki kuamini kuwa wametemwa.
 
Dah! Mwaka hu hatutamuona tumbili akimchezea simba
 
Kwanini tuwa miss?

Hawajafanya kazi waliyotumwa na wananchi wa majimbo yao na wananchi wameamua wawakilishwe na wengine.
 
Wewe unaota naona,eti kwaheri CHADEMA,tuna wabunge wangapi mpaka sasa we kenge
 
Na wale walioshindwa ni wale ambao walijihakikishia kuwa wana hati miliki na viti vya Ubunge. Wakawa wameota pembe wakijua kuwa wamewaweka wapiga kura kwenye kiganja. Kumbe ki ukweli Mtz wa leo hatabiriki.... Mi nimesikitiaka Wasira kutorudi bungeni. Teh.
 
Back
Top Bottom