Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Kimbunga Hidaya kimeshafika kwenye pwani yetu. Mamlaka ya Hali ya Hewa TMA walitoa tahadhari ujio wa kimbunga hiko kwenye pwani ya mashariki.
Uzi huu ni maalumu wa kushare matukio, picha na video za maeneo yaliyopitiwa na kimbunga hiki cha HIDAYA.
Lengo ni kupashana taarifa na kuzisaidia mamlaka za uokozi na ustawi wa jamii kuwafikia wahanga kwa haraka zaidi.
Video: Mafia kisiwani
Pia soma:TMA: Uwepo wa kimbunga “Hidaya” katika bahari ya Hindi Mashariki mwa Pwani ya Mtwara