Matukio valentine day

Wanawake ambao wanatambua nafasi zao na kutumia vema kama mke,rafiki au mchumba ni wachache sana katika 1000 unaweza pata 10 tu....yeye huyo anataka wewe ndie utoe zawad yeye hawez kutoa,wewe ndie umkumbuke yeye hawez kukukumbuka,yeye ndie umtumie vocha yeye hata awe namamilion hawez fanya hivo urafiki na uchumba kwa hawa dada zetu ni kujitafutia majanga bora wawe marafiki wao na wao wafanyiane unafiki piga chini hiyo mbuzi meeeee
 
baby wako alikuwa yupo na baby wake.
 
Hahahah
Ningeweka screenshoot nilivyojibiwa.

Sema nimeshafuta sms na namba za mdada yule.

Mungu amsaidie huko aendako.
 
Kwangu jana ilikua ni mwendo wa no. unayoipigia inatumika kwa sasa jaribu tena baadae. Ikifika baadae ni wimbo huo huo mpaka ahsubuhi.

Saaa tatu ety Luv, Jana niliwai kulala, sijui simu alikua nayo nani... Mm nikasema sawa hakuna shida.

Japo kichwani maamuzi yashafanyika tayar.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787]Ana kuona famba siyooo
 
Mimi wangu alinikatia simu wiki jana. Palepale nikatoa dismissal letter. Kwa siku Hizi matumizi yamepungua kinoma hadi najipenda yaani
Ni kweli mkuu kama unataka kujua vija wengi wanashindwa kupata maendeleo jaribu kuachana na mpenzi! itajikuta unabaki na pesa nyingi kama ulikuwa una mpa kwa mwezi zaidi ya laki basi hizo pesa utaanza kuziona ukiwa nazo na wazaz wakikuomba pesa unawapa kwa haraka kwasababu zipo zilpo kuwa zinaenda haziendi tena.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…