GE2025 Matukio wakati wa uchaguzi, Serikali lazima iseme ile ni Collateral damage

GE2025 Matukio wakati wa uchaguzi, Serikali lazima iseme ile ni Collateral damage

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
8,042
Reaction score
13,383
Tumeomboleza tumechoka,
Serikali isiendelee kutia aibu kwa jàmbo walilofanya la kuua watu.

Wakubali vile vifo, uharibifu na majeruhi ni collateral damage wao walikuwa wanajaribu kudhibiti fujo ila yaliotokea yalikuwa nje ya uwezo wao

Waombe radhi hata wasipolipa mtu, wawakabidhi marehemu kwa wapendwa wao na watoe elimu kuhusu maandamano ya amani ni vipi yanatakiwa kufanyika.

Haitokuwa ajabu kuona vifo vya mfululizo kwa wapendwa wao hao watu walioshiriki kuwahujumu wananchi huku watu wakifurahia vifo vyao maana karma is unavoidable.

Zaidi na zaidi wasikaze shingo maoni ya wananchi yasikilizwe, wakiendelea kukaza shingo yatatokea zaidi ya yaliotokea
 
Collateral damge gani ya kuwafuata vijana kwenye kibanda umiza cha kuangalia mpira na kuwamiminia risasi?
Collateral damage gani ya kuwashoot migongoni watu wanaokimbia maaskari walipo?
 
Akili zingine ni za ajabu kweli.

Collateral damage gani hiyo ambapo watu wasio na silaha wanapigwa risasi bila sababu?

Nchi ina mataahita wengi sana hii.
 
Collateral damge gani ya kuwafuata vijana kwenye kibanda umiza cha kuangalia mpira na kuwamiminia risasi?
Collateral damage gani ya kuwashoot migongoni watu wanaokimbia maaskari walipo?
Master Tindwa wamemuulia nyumbani kwake hawa wahalifu.
 
HAIWEZEKANI WATANGANYIKA KUUWAWA KIASI KILE KISA UROHO WA MADARAKA
HAPANA HILI NIMEKATAA.

SINA CHA KUFANYA LAKINI MUNGU AWALAANI WOTE WALIOHUSIKA NA MAUAJI YALE YA KINYAMA KWA WATANZANIA VILAANIWE VIZAZI VYAO VYOTE.
 
Wameua watu wengi sana hii haikubaliki hata kidogo.
 
Back
Top Bottom