Matukio ya fujo za washabiki wa Yanga ni ya aibu kwenye soka Yakemewe kwa nguvu

Asante mtani, hawa vijana wa siku hizi wanahisi mpira ni uandui.
 
Tukianza kucheza mechi zetu na akina tp mazembe..utopolo mkija taifa tunawatoa utumbo mpana
 
Yanga wameshashindwa kupambana na simba uwanjani sasa hivi wanaanzisha tabia ya kupiga mashabiki wa simba.

Hii Tabia itakuwa na mkono wa viongozi wa Yanga haiwezekani wafanye matukio mfululizo kwa mashabiki wa simba tu.
 
Ni 'stress' tu, maana si Wachezaji, Viongizi hadi Mashabiki wote mabondia.
 
mashabiki wa mikia mna nguvu ya mdomoni tuu tenna nyuma ya keyboards , ni watalaam wa kuchokoza ila bahati yenu mBio tuu ndizo zinazo waokoa siku zote, kwenye mechi ya wanannchi mlifata nini ??
We jamaa ni hopeless, Kujiunga JF naomba kuwe na interview, ile sentence ya "home of great thinkers" iendelee kupata heshima yake
 
Sawa, na hii itawasaidia kuchukua kombe msimu huu. Kumbe mashabiki wa Yanga ni wapuuzi fulan, wahuni wasiostaarabika, nadhan hata shule kichwan ni ndogo. Karne hii ya kujisifia kupigana, kweli??
 
Sawa, na hii itawasaidia kuchukua kombe msimu huu. Kumbe mashabiki wa Yanga ni wapuuzi fulan, wahuni wasiostaarabika, nadhan hata shule kichwan ni ndogo. Karne hii ya kujisifia kupigana, kweli??
Nadhan-nadhani
Kichwan-kichwani

Rudi shule kwanza ujifunze kuandika 'then' uje.
 
Sawa madam, vipi hujafungua tuition ya lugha ya kiswahili nije nijifunze kwako??
[emoji23][emoji23][emoji23]

Umeshapaniki tayari shabiki lia lia wa mkia,ndio maana mnadundwaga,

Pumbavu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Umeshapaniki tayari shabiki lia lia wa mkia,ndio maana mnadundwaga,

Pumbavu.
Sawa shabiki wa Uto.. miaka 3 hii kavu, na bado tunaenda back to back 10.
 
Muda uliotumia kuandika hii pumba ako katecno kako akajashika moto kweli,angalia hizo video uone washabiki wa mikia walichowafanyia washabiki wa Yanga,sema kwa uzembe wa idara ya habari ya Yanga uwa hawayaripoti
 

Attachments

  • VID-20200901-WA0010.mp4
    3.4 MB
  • VID-20200901-WA0012.mp4
    2.5 MB
kule ulaya huwa naona mashabiki wa timu mwenyeji wanatengwa na mashabiki wa timu ngeni. Sijui huku kwetu hali haipaswi kuwa hivyo?
 
Sasa hivi ukimquote mtu wa utopolo, ndala, yeboyebo, mbwa, nyani, usisahau emoji hizi[emoji2187][emoji2187][emoji119][emoji120][emoji2089][emoji2089][emoji2088][emoji2088][emoji2222] la sivyo utachezea vitasa mpaka ufe, dawa ni kuyatania alafu unatoka nduki.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mambwa hayooooo [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Waulize wenzio wa Morogoro kinachoendelea kuwakuta, sio unaropoka nyuma ya keyboard wakati wenzio walofanya huu ujinga washazikimbia familia zao kukwepa mkono wa dola ilihali wanajua huwezi kuikimbia dola. Huku nyuma wameacha wake zao wanapigwa miti na majamaa ya mtaani, what a shame!
Yanga msipobadilika mtaozea lupango kwa ushabiki wa kijinga.
Huo ushamba mnaoleta viwanjani utawacost nyie na familia zenu.
We ukiona pale uwanjan mko wengi bas unahis we ni invisible kumbe upo naked, na ukishadakwa na manjagu hakuna hata atakaekuja kukuwekea dhamana akutoe polisi kila mtu atapita njia yake hutawaona wote walokua wanakushangilia kwamba piga! piga!. Hapo ndo utajutia upumbavu wako badala upigane na maisha unaenda pigania timu ambayo hata haikusaidii lolote zaidi ya kukupa stress na magonjwa ya moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…