Acha upumbavu wako yanga wana jukwaa lao? Kinachokufanya ukae jukwaa fulan ni kiingilio ulicholipa na wala sio timu unayoishabikia. Mara ngapi mashabiki wa yanga wanakaa jukwaa moja na mashabiki wa simba na huoni mashabiki wa simba wakiwafanyia vurugu.
Kinachowatesa mashabiki wa yanga ni timu yao kuwa mbovu kiasi cha kudhani ubovu wa timu yao unasababishwa na mashabiki wa simba.
Yanga msiipobadilika mtaicost team yenu either mechi zake zichezwe bila mashabiki au mnyang'anywe points.
Mark my words.
Sent from my TECNO BA2 using
JamiiForums mobile app