Matukio ya kukumbukwa mwaka 2004

Matukio ya kukumbukwa mwaka 2004

Wengine huo mwaka ndipo walipo anza safari kujifunza MOFIMU.

MOFIMU: NI MFUMO WA SAUTI ZA NASIBU ZINAZOZUNGUMZWA NA WATU WA JAMII FULANI ZENYE KULETA MAANA KAMILI

MOFIMU HURU
MOFIMU TEGEMEZI.
 
1729586619978.png

SWV -Sisters with Voice - Kina Dada Wenye sauti.....Nilikuwa na Hard Copy yake hii long tyme sana 2000.

1729586439301.png


Ray C - Hard Copy 2004
 
Greece kuchukua Euro kwa kumfunga mwenyeji Portugal mechi ya ufunguzi na fainali.

Hawa jamaa walikuja na style fulani ya mpira ya tofauti wakabeba kombe hilo.
 
Hii ndio yenyewe sasa, umenikumbusha mbali sana.

Enzi hizo shule ya msingi, huo wimbo ulikuwa unapigwa kila siku saa 2 asubuhi Radio One, nilikuwa naupenda mno!

Baada ya hapo ndio majarida ya FEMA yakaanza kutoka, akina Amabilis Batamula na Anko Josh.
ulikua unapigwa pia itv kabla ya habari ya saa 2
 
Tukio lingine la kukumbukwa mwaka 2004 ni lile la kibao cha wimbo unaohusu masuala mazima ya Virus vya Ukimwi na Ukimwi kilichotambulika km 'Usione Soo, Sema Nae', kibao hicho kilifanywa na wasanii wa kipindi hicho ambao walikua wanatamba sana kimuziki kuanzia kwenye redio mpaka kwenye Televisheni, wasanii hao wakiwa chini ya Ishi Organization in Tanzania iliyoendesha Ishi Campaign ambapo wasanii hao waliunda kundi lililofahamika km 'Ishi Stars'.

Kundi hilo lilisheheni wasanii wakali wa kipindi hicho km vile Pauline Zongo, Stara Thomas, Banana Zoro, Benjamin wa Mambo Jambo, Mr Paul, Solo Thang, Raha P, Dataz, Patricia,

Huku chorus ya wimbo huo ikiimba :

Usione soo sema naye, kuhuusu kusubiri, kuwa mwaminifu au tumia kondom. (Don’t be shy. Talk with your partner about abstinence, being faithful, or using a condom).”
View attachment 3131178
aiseee unatukumbusha mbali sana!old is gold
 
Nakumbuka nameenda shule na dumu litre 1 ya maji, fagio, mbolea, jembe na panga na hapo nimewai number ila mwisho wa siku nilikuja kuchapwa viboko vile vile walivyochapwa wenzangu ambao hawakuwa na hivyo vyote kwasababu ya nilisahau kukata kucha.
 
Back
Top Bottom