Matukio ya kusikitisha katika Uongozi wa Kikwete {2010 - 2015}

kinyesi.

 
Mambo ya ajabu ajabu yanafanyika nchi hii lakini watanzania wapo kimya na hawajali,
Yanatokea mauaji ya wenzetu albino serikali imeshindwa kutumia vyombo vyake vya usalama kuwabaini wahusika na kuwachukulia hatua lakini watanzania wapo kimya na hawajali mmebaki kuandika status za "stop albino killings" na sijui inasaidia nini bila kuishinikiza serikali tena kwa nguvu kuchukua hatua.
Nchi imefisadiwa sana toka EPA mpaka ESCROW huku mafsadi wakitukejeli lakini cha kustajabisha watanzania tupo kimya na tunawapigia kura na kuwashabikia mafsadi na chama chao.
Wameua elimu kwa watoto wetu wanafeli wanatuletea sera mbovu na mikakati ya hovyo lakini watanzania tupo kimya na hatuchukui hatua zozote,
Kuna matukio ya kuteka na kutesa na hata kuua watanzania wenzetu yanayoratibiwa na serikali lakini watanzania tupo tunabaki kubwabwaja tu bila kuchukua kupinga uonevu huu,
kwa hakika matukio ni mengi yanayotokea nchi ya kutosha kuiajibisha serikali lakini yaanachwa yanapita kama vile hatuyaoni nahisi sisi ndo kizazi cha ajabu kutokea duniani.
 
Viongozi wetu wanawahonga vimada wao mpaka wilaya! Unategemea nini hapo
 
mods kwa nini mnatoa uzi wangu kila nkiandika acheni U.J.I.NGA....
1..KUFUNGWA KWA BABU SEYA NA WANAE
2.,KATIBA MPYA ILIYOPELEKEA KIFO CHA DR. SENKONDO ADRIAN MVUNGI....
3.,KUVUNJWA KWA BARAZA LA MAWAZIRI MARA NYINGI...
4.,KUONGEZEKA KWA UFISADI, MADAWA YA KULEVYA...
5...KUTOKEA KWA WAGOMBEA URAISI WENGI NDANI YA CCM...
 
Att:MOD
Kuna kipindi m detect account mpya.
Hawa ni wazoefu wa humu ila wanafungau account mpya ku boost Ujinga wao humu.

Kujieleza kwenye tabu,hao ndio mananga tulionao huku Zanzibar.
Aibu tupu,hembu jipange ujue namna kufanya presentantion ili uunde mazingira ya kujenga hoja,na sio kufuat Mkumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…