Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,972
Clinton ndiyo "alishambulia Iraq" wakati wa skendo ya Monica Lewinsky?
Kabla ya kuuliza unge-google kwanza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Clinton ndiyo "alishambulia Iraq" wakati wa skendo ya Monica Lewinsky?
Naona akili yako imerudi sasa na kuanza kujitambua, hongera zako nyingi. Usiruhusu tena ulemavu wa akili ukutokee na kurudia kutojitambua tena.
Fafanua juu ya huo "ulemavu wa akili" unaoudai!!
Ipo mingi tu, huu hapa ni mfano mmoja tu.
https://www.jamiiforums.com/katiba-...ngi-wasijue-mengi-yaliyomo-kwenye-rasimu.html
tatzo kule lumumba wametibuana ndo maana amejirudi
Lumumba ndio wapi huko mkuu?
Sijawahi kufika! Liko maeneo gani?eneo lenu la kujidai
Tatizo liko wapi hapo?
Naona akili yako imerudi sasa na kuanza kujitambua, hongera zako nyingi. Usiruhusu tena ulemavu wa akili ukutokee na kurudia kutojitambua tena.
Ndugu yangu Buchanan, nchi yoyote inayoendelea kwa kasi lazima ikumbwe na misuko suko. Kwa haya yanayoendelea Tanzania ni athari mojawapo ya maendeleo chanya ya nchi yetu
Vaa miwani yako ya mbao usome tena ulichoandika utaliona tatizo.
Mimi ni mtetezi mkubwa sana wa HOJA ninayoiamini, sio mtetezi wa watu!!
Kwi kwi kwi kwi lol!!! Eti msimamiaji hoja! Sijui ni hoja zipi unazosimamia, na kama ungekuwa unasimamia hoja kwanini watu wakuzodoe na wengine kufikia kuuliza uliupataje uMOD? Jichunguze Mkuu achana na kuandika pumba za kutetea uozo wa Serikali hii dhalimu ambao mfano mmoja wa pumba zako nimekuwekea.
Tatizo kuu la wana-UKAWA wanataka kila mtu afikirie kama wao! Wamejaa kejeli, matusi na dharau kwa mtu yeyote anayefikiri tofauti na wao! Hata Post yako inathibitisha haya ninayosema!!