Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hawaaminiki hawa ingawa ukweli wanauona.
Ndugu yangu Buchanan, nchi yoyote inayoendelea kwa kasi lazima ikumbwe na misuko suko. Kwa haya yanayoendelea Tanzania ni athari mojawapo ya maendeleo chanya ya nchi yetu
Wakuu,
1. JK amekabidhiwa nchi ikiwa na amani kabisa, lakini Mheshimiwa huyu amekuwa ni mtu anayejificha kwenye matukio mbali mbali UDHAIFU wake usijulikane!
2. Alianza na Richmond ambayo ilitusumbua sana, hatimaye alivunja Baraza zima la Mawaziri, mambo yakatulia kidogo!
3. Hatujakaa vizuri tukasikia "Zanzibar sio nchi!" Hili nalo lilitusumbua sana hadi kupelekea Mabadiliko ya 10 ya Katiba ya Zanzibar, 1984 ili kuitambua Zanzibar kama "nchi!" Baadaye mambo yakatulia!
4. Tulishuhudia mgomo wa Madaktari na kuteswa kwa ULIMBOKA, lilisumbua sana akili za watu. Matukio mengine yaliyofanana na hayo: Kuuawa kwa wafuasi wa CHADEMA, waandishi wa Habari, Gesi ya Mtwara, nk. Yote hayo yalitufanya tu-concentrate na matukio menyewe zaidi kuliko ku-concentrate na mambo ya maendeleo!
5. Hili la ESCROW sihitaji hata kulielezea maana bado linaendelea kusumbuma akili za watu.
6. Hili la Katiba Mpya nalo limeleta kizaa zaa, ni kama vile limeletwa makusudi ili tugangamane nalo ili Mzee amalize ungwe yake ya Awamu ya Nne!
7. Hili la Mahakama ya Kadhi ndio funga kazi. JK anajua kabisa litatugawanya na litagawanya nchi vipande vipande! Kwa kuwa yeye ni mzee wa matukio yanayo-draw attention kwenye tukio lenyewe badala ya yeye mwenyewe basi tutakomaa nalo wakati yeye anaendelea kumalizia safari zake kwenye nchi ambazo alikuwa bado hajazitembelea! Hana shida na mshikamano na mustakabali wa nchi hii!
8. Bill Clinton alipoona issue yake na Monica Lewinsky imepamba moto, alihamisha attention kwa kuishambulia Iraq. JK naye akishaona kwamba kuna tukio ambalo linamlenga yeye na Serikali yake moja kwa moja analeta tukio jingine. Hili la Katiba lilifunikwa na ESCROW, hili tukio la ESCROW halijaisha tumeshaletewa mambo ya Mahakama za Kadhi.
Tunakorogwa sana kwa kweli! Nikimtafakari JK nashindwa kummaliza! Hapa sijagusia Mgogoro wa Malawi na Rwanda na baadaye na Kenya, Rwanda na Uganda kwa umoja wao! Yaani ni tatizo juu ya tatizo!
Karibuni kwa mjadala zaidi!!
Maendeleo chanya gani hayo unayozungumzia? Yaani wewe hujui kwamba umasikini wa Watanzania wengi umeongezeka ndani ya utawala wa chama chenu? Mfano tu - licha ya kushindwa kupata milo miwili kwa siku hapo Dar es Salaam watu wengi wanaishi kula chakula duni (poor diet) na kichafu cha akina ntilie. Makazi nako je? Na vijijini ndo usiseme. Labda useme majambazi ya chama chako sasa yamevimbiwa kwa mihela na rasilimali inayopiga kuliko ilivyokuwa zamani. Ndio marndeleo yenu hayo!
Wakuu,
1. JK amekabidhiwa nchi ikiwa na amani kabisa, lakini Mheshimiwa huyu amekuwa ni mtu anayejificha kwenye matukio mbali mbali UDHAIFU wake usijulikane!
2. Alianza na Richmond ambayo ilitusumbua sana, hatimaye alivunja Baraza zima la Mawaziri, mambo yakatulia kidogo!
3. Hatujakaa vizuri tukasikia "Zanzibar sio nchi!" Hili nalo lilitusumbua sana hadi kupelekea Mabadiliko ya 10 ya Katiba ya Zanzibar, 1984 ili kuitambua Zanzibar kama "nchi!" Baadaye mambo yakatulia!
4. Tulishuhudia mgomo wa Madaktari na kuteswa kwa ULIMBOKA, lilisumbua sana akili za watu. Matukio mengine yaliyofanana na hayo: Kuuawa kwa wafuasi wa CHADEMA, waandishi wa Habari, Gesi ya Mtwara, nk. Yote hayo yalitufanya tu-concentrate na matukio menyewe zaidi kuliko ku-concentrate na mambo ya maendeleo!
5. Hili la ESCROW sihitaji hata kulielezea maana bado linaendelea kusumbuma akili za watu.
6. Hili la Katiba Mpya nalo limeleta kizaa zaa, ni kama vile limeletwa makusudi ili tugangamane nalo ili Mzee amalize ungwe yake ya Awamu ya Nne!
7. Hili la Mahakama ya Kadhi ndio funga kazi. JK anajua kabisa litatugawanya na litagawanya nchi vipande vipande! Kwa kuwa yeye ni mzee wa matukio yanayo-draw attention kwenye tukio lenyewe badala ya yeye mwenyewe basi tutakomaa nalo wakati yeye anaendelea kumalizia safari zake kwenye nchi ambazo alikuwa bado hajazitembelea! Hana shida na mshikamano na mustakabali wa nchi hii!
8. Bill Clinton alipoona issue yake na Monica Lewinsky imepamba moto, alihamisha attention kwa kuishambulia Iraq. JK naye akishaona kwamba kuna tukio ambalo linamlenga yeye na Serikali yake moja kwa moja analeta tukio jingine. Hili la Katiba lilifunikwa na ESCROW, hili tukio la ESCROW halijaisha tumeshaletewa mambo ya Mahakama za Kadhi.
Tunakorogwa sana kwa kweli! Nikimtafakari JK nashindwa kummaliza! Hapa sijagusia Mgogoro wa Malawi na Rwanda na baadaye na Kenya, Rwanda na Uganda kwa umoja wao! Yaani ni tatizo juu ya tatizo!
Karibuni kwa mjadala zaidi!!
mkuu umesahau swala la vitambulisho vya taifa ambalo alilianzisha sasa liemshinda, linaelea tu hewani halina kichwa wala miguu
BAK mie nimeshangaa pia kwa andiko lake hili.. Na kwa hili la muswaada wa kadhi ni suala ambalo litatugawa sana.. Maana kwa mara ya kwanza kutakuwa na uungaji mkono na upingaji wa muswaada huu kwa misingi ya kidini..Naona akili yako imerudi sasa na kuanza kujitambua, hongera zako nyingi. Usiruhusu tena ulemavu wa akili ukutokee na kurudia kutojitambua tena.
Mengi tu yamemshinda. Kuna vitambulisho vya taifa, kuna vitambulisho vya kupigia kura, JKT ndio imesmamishwa vyote hivyo kwa ukosefu wa hela. Tatizo chini ya uongozi wa JK hakuna priorities. Wanarukia kila kitu mwisho wanajikuta hawana hela. Mbaya ziadi nidhamu ya matumizi ya fedha za serikali ni sifuri kabisa. Ndio maana wizi/ufisadi mwingi sana.
Wangekuwa na mipango mizuri, vitambulisho au aundikishaji wapira kura na vitambulisho vya taifa vingefanywa kwa pamoja kuna baadhi ya vifaa vingetumika sehemu zote mbili na kupunguza gharama. Lakini 10% imewazonga wamepofuka!
Wakuu,
1. JK amekabidhiwa nchi ikiwa na amani kabisa, lakini Mheshimiwa huyu amekuwa ni mtu anayejificha kwenye matukio mbali mbali UDHAIFU wake usijulikane!
2. Alianza na Richmond ambayo ilitusumbua sana, hatimaye alivunja Baraza zima la Mawaziri, mambo yakatulia kidogo!
3. Hatujakaa vizuri tukasikia "Zanzibar sio nchi!" Hili nalo lilitusumbua sana hadi kupelekea Mabadiliko ya 10 ya Katiba ya Zanzibar, 1984 ili kuitambua Zanzibar kama "nchi!" Baadaye mambo yakatulia!
4. Tulishuhudia mgomo wa Madaktari na kuteswa kwa ULIMBOKA, lilisumbua sana akili za watu. Matukio mengine yaliyofanana na hayo: Kuuawa kwa wafuasi wa CHADEMA, waandishi wa Habari, Gesi ya Mtwara, nk. Yote hayo yalitufanya tu-concentrate na matukio menyewe zaidi kuliko ku-concentrate na mambo ya maendeleo!
5. Hili la ESCROW sihitaji hata kulielezea maana bado linaendelea kusumbuma akili za watu.
6. Hili la Katiba Mpya nalo limeleta kizaa zaa, ni kama vile limeletwa makusudi ili tugangamane nalo ili Mzee amalize ungwe yake ya Awamu ya Nne!
7. Hili la Mahakama ya Kadhi ndio funga kazi. JK anajua kabisa litatugawanya na litagawanya nchi vipande vipande! Kwa kuwa yeye ni mzee wa matukio yanayo-draw attention kwenye tukio lenyewe badala ya yeye mwenyewe basi tutakomaa nalo wakati yeye anaendelea kumalizia safari zake kwenye nchi ambazo alikuwa bado hajazitembelea! Hana shida na mshikamano na mustakabali wa nchi hii!
8. Bill Clinton alipoona issue yake na Monica Lewinsky imepamba moto, alihamisha attention kwa kuishambulia Iraq. JK naye akishaona kwamba kuna tukio ambalo linamlenga yeye na Serikali yake moja kwa moja analeta tukio jingine. Hili la Katiba lilifunikwa na ESCROW, hili tukio la ESCROW halijaisha tumeshaletewa mambo ya Mahakama za Kadhi.
Tunakorogwa sana kwa kweli! Nikimtafakari JK nashindwa kummaliza! Hapa sijagusia Mgogoro wa Malawi na Rwanda na baadaye na Kenya, Rwanda na Uganda kwa umoja wao! Yaani ni tatizo juu ya tatizo!
Karibuni kwa mjadala zaidi!!
tatzo kule lumumba wametibuana ndo maana amejirudi
BAK mie nimeshangaa pia kwa andiko lake hili.. Na kwa hili la muswaada wa kadhi ni suala ambalo litatugawa sana.. Maana kwa mara ya kwanza kutakuwa na uungaji mkono na upingaji wa muswaada huu kwa misingi ya kidini..
Nilijua kitambo kwa ccm wanatupeleka pabaya lakini sikuwahi kufikiria katu watafikia hatua hii ya kuwagawanya watanzania kwa misingi ya dini.. Kwa mara ya kwanza tutaona bunge likigawanyika katika misingi ya kidini..
Kwa hili JK atabeba lawama..
ni kweli kabisa, kila kitu kimefanywa robo kikaachwa kinaelea hewani kwa sababu kauna mpango kazi mzuri wala kipaumbele, hii ni hatari sana, inaonyesha hata watendaji wake pamoja na washauri wake hawajitambui, btw kiongozi yeyote huwa anaazia kwenye familia yake ukiona mtu ameshindwa kuisimai familia basi ujue hata majukuu ya nje ya familia hayawezi
..hata zoezi la kuandikisha wapiga kura kwa mashine mpya limeshamshinda kabla halijaanza....Mengi tu yamemshinda. Kuna vitambulisho vya taifa, kuna vitambulisho vya kupigia kura, JKT ndio imesmamishwa vyote hivyo kwa ukosefu wa hela. Tatizo chini ya uongozi wa JK hakuna priorities. Wanarukia kila kitu mwisho wanajikuta hawana hela. Mbaya ziadi nidhamu ya matumizi ya fedha za serikali ni sifuri kabisa. Ndio maana wizi/ufisadi mwingi sana.