Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha kuona kijana kama wewe unatumikishwa hvyo.Ila pole naamini ndio maisha uliyo chagua.
ishu za lwakatare izo
Very very important thread, inabidi iwe ya njano zilee zinaitwa Sticky kama sikosei. Ili kuweka kumbukumbu sawa na sahii. Hongera TETEMA sina uwezo wa lugonga "thanks" cm haiwezi.
Tarehe 05-01-2011
Police wawapiga risasi watu zaidi ya 11 ktk maandamano ya CHADEMA. Waua watu 3.
Tarehe _10-2011
Dk.Mwakyembe aenda India kutibiwa kutokana na Kupewa Sumu.PoliCCM walipotezea kisiasa.
Tarehe _02-2012
Shehe Ali khamis Kuuawa kwa mapanga.
Tarehe 26-06-2012
Dr.Ulimboka akatekwa na kufanyiwa unyama.
Tarehe 18-07-2012
Mv spice yazama.
Tarehe 02-09-2012
Daudi Mwangosi auliwa na polisi Iringa.
Tarehe 28-09-2012
LHRC Waishtaki serikali ya K.. ICC
Tarehe 12-10-2012
Mtoto kudhihaki Kitabu kitakatifu (haijawahi kutokea Tz)
Tarehe 16-10-2012
Shehe Farid A. Hadi kiongozi wa Uhamsho kutekwa na kupotea(Alipatikana)
Tarehe _12-2012
Padre Ambrose apigwa risasi Zanzibar
Tarehe _02-2013
Padre Evarist Mushi apigwa risasi Zanzibar.
Tarehe 18-02-2013
Matokeo kidato cha 4 mabovu,haijawahi kutokea duniani tangu kuumbwa kwa Adam na Hawa.
Waliopata div 4 na 0 ni takriban 95%
Tarehe 05-03-2013
Kibanda afanyiwa ya Ulimboka.
Tarehe _03-2013
Lwakatale (mkurugenzi wa usalama CHADEMA) atuhumiwa kwa Ugaidi.
Tarehe 17-04-2013
wabunge 6 wa CHADEMA watolewa nje ya bunge,Ndugai/naibu spika awapa adhabu ya kutoingia bungeni siku 5 kinyume na kanuni za bunge.
Siku hiyohiyo mh.Lema amtaja Rais kuwa ndie mwanzilishi wa udini.
Tarehe 25-04-2013
Lema avamiwa usiku wa manane na polisi kwa amri ya Mulongo/mkuu wa mkoa wa Arusha
UPDATE,
Tarehe 05-05-2013
Mlipuko watokea kanisani Arusha...
Mheshimiwa rais akiwa angani na ndege kuelekea Kuwait kuta..
Tarehe 08-05-2013
Lwakatale/mkulugenzi wa usalama wa CHADEMA afutiwa mashtaka ya ugaidi.
MWAKA 2013
.Deni la taifa lafikia tril.22 wakati Kikwete alikuta deni ni tril.5
.Dola moja=1,600 tshs wakat alikuta dola moja=600tshs.
Tarehe 14-05-2013
tetesi za
Kikwete kuandaliwa mpango wa kuwa rais wa Tz hadi mwaka 2017 badala ya mwaka 2015,ili asimamie kukamilika kwa uundwaji wa katiba mpya.
Source,Mh.Pro.Lipumba.
UPDATES:
Tarehe 18-05-2013
Tetesi: Kanisa la TAG ladaiwa kuchomwa moto leo hii....
(kama kunanilichokisahau ama kukosea nikumbusheni at)
mfano,Tarehe aliyosema hajui kwanini Tz ni maskin,msongamano wa magali dar ni ishara ya maisha bora,n.k
pia anaekumbuka idadi ya safar za mheshimiwa.
Hakika Mkuu. Dawa ya changamoto si kuzikimbia bali kupambana nazo. Mimi nadhani JK amejitahidi japo kuna changamoto nyingi. Nakumbuka wakati wa Mahita jeshi lilikuwa limeshindwa kabisa kuwalinda raia, kulikuwa na ujambazi wa kutisha watu wanaingia mchana kweupe wakiwa na silaha na kuondoka na vitu. njugu zilikuwa nje nje na kukawa na tetesi kwamb kuna watu wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wanahusika. JK alipoingia alilibadili jeshi la polisi na ujambazi ukapungua sana. Sasa kuna changamoto zingine ambazo zinalihusu jeshi hivyo si kujiuzulu bali kuzishughulikia.
Kuhusu ufisadi nadhani pia kuna vitu amefanya. kuna watu wamepelekwa mahakamani wakafungwa. Hapa tatizo si Rais ila nadhani ni mfumo hasa wa kisheria. Mara nyingi vifungo vinakuwa vidogo. Mfano Liumba alihukimiwa lakini akamaliza miaka yake miwili pamoja na makosa yale aliyopelekewa mahakamani. Mweka Hazina wa CCM huko Kigoma yupo gerezani kwa ufisadi. kuna changamoto hapo kwamba wengine hawakuguswa lakini labda pia ni uamuzi.wa Rais kwamba warudishe pesa wasipelekwe korkoroni.
Ahadi nadhani anapigana nazo. Barabara zinalimwa.na kujengwa, meli sijui labda nazo zipo njiani. tusubiri bado muda
Ukiona mtu anakuwa na mawazo ya kupinga kila kitu atakuwa na shida kwenye tafiti zake huwezi kuwa mtu mwema kwa kupinga kila kitu sijawahi kuona.
JK mnamuandama lakini ni zaidi ya NYERERE wenu....haya yanayotokea ni sababu ya shina bovu alopanda nyerere ...na yeyey mambo yalimshinda , alikoswa kupinduliwa mara 3
alifunga watu hovyo
watu walipotea hovyo
hakukuwa na wa kumsema kama unavosema wewe leo
wote walikua ni zidumu fikra za Nyerere
na zimwi lake limewafanye wengi kama wewe kuto fikiri zaidi ya nyerere....
ujinga huuWadau hivi karibuni nitawaletea uzi unaoonesha mpaango wa Kikwete na ccm wanavyopanga kuiuza Tanzania kabisa.
Ushaidi kutoka mkutano mkuu wa Nec mwaka janna.
Stay tuned.
nyerere aliwahi kusema uongozi wake ulikuwa mchanga akaufanansha na mtu asiyejua kuogelea ukimtupa kwenye baharini mara ya kwanza, pia akasema alitegemea yale mazuri aliyoyafanya wangeyaiga na kuacha yale mabaya aliyoyafanya, lakini anashangaa yale mazuri wanayaacha wanafanya yale mabaya. alitaka taifa liwe lenye umoja na mshikamano, elimu kwa wote, lenye kutengeneza magari yake, na viwanda but heirs waliviua vyote.JK mnamuandama lakini ni zaidi ya NYERERE wenu....haya yanayotokea ni sababu ya shina bovu alopanda nyerere ...na yeyey mambo yalimshinda , alikoswa kupinduliwa mara 3
alifunga watu hovyo
watu walipotea hovyo
hakukuwa na wa kumsema kama unavosema wewe leo
wote walikua ni zidumu fikra za Nyerere
na zimwi lake limewafanye wengi kama wewe kuto fikiri zaidi ya nyerere....