Achana na hiyo, vipi ile iliyocheza na FAA RABAT , ambayo wachezaji wote walikuwepo?Simba iliyobaki moroko kipa mmoja ally salim,hadi morrison alicheza full back simba hawajaridhika ndiyo maana tar 12 wanaenda misri kambi ten
Yaani hata jukwaa hili leo naingia kwa machale
Huu utani wa simba na Yanga unauma na kukera sana asikwambie mtu hasa kama timu yako ni Tia maji Tia maji na kitu kingine ni over expectations ya mashabiki kwa timu zaoShida ya hizi Team wala hatuangalii ni Friendly mechi au la,ukifungwa tu ni shida,ujue jana kabla ya mechi mlikuwa mmetamba sana na tulikuwa hatupumui,japo tulikuwa tunajibu mapigo,baada ya Kapumbu kufanya yake,kibao kikageuka,hata Manara amekuwa mpole sana,zile tambo zote zimeisha,amerudi kwenye defensive mode! Aliyeleta huu Utani wa Simba na Yanga ana nafasi ya pekee peponi [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa hyo unafananisha hao na zanaco sio?Bila shaka unamaanisha bora sare na Waarabu wa Daraja la I, sio!!
Kwenye soka la Afrika, Zanaco ni timu kubwa kuliko OCK!Kwa hyo unafananisha hao na zanaco sio?