Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mimi naona tumepishana kidogoSijui tu, nadhani kuna muda kocha anaweza kuwa na mahaba na mchezaji kuliko uwezo wake, hilo nakuona hata kweye team za ulaya Mfano pale Man U , Martial huwa anacheza utumbo ila kila game lazima umuone licha ya kwa na wachezaji wazuri nje.
Kwenye hii mechi ya leo kocha amuache Mauya kwakua hakuwa na option nyingine ya kiungo mshambuliaji ndo maana hakumto.Kumbuka kuwa Mkoko ni kiungo mkabaji hivyo hakuhusiani kabisa na Mauya kiuchezaji.
Mwamnyeto tatizo sometimes hajiamini na maamuzi yake anaona kama atachoma tofauti na mwenzie job, dogo huyu haogopi risk anapenyeza pasi ndefu ya chini mbele za maadui na inamkuta mtu, ila bakari anaogopa sema amejitahidi tu hajacheza vibaya,Mwamnyeto now hana namba pale, atakuwa anaanza Bangala na Job
Muarabu wa. Morocco Kapumbu kamalizia deni ugeniniInginia Somaaaaaaaa iyoo.......! Ngapi ngapi?
Timu ya kishingo itacheza federation cup walimaliza nyuma ya wydad na raja na mwezi ujao team inaenda nchi nyingine probably misriSubi
Subiri tuione pia ya kwetu maana hii Simba Sc ya sasa si ile ya msimu uliopita, na hata ukiangalia mechi za kirafiki tulizocheza hatukupata matokeo mazuri licha ya kucheza na team ambazo hazitokuwepo kwenye mashindano kama yetu (CCL).
Mimi nilitaka kuipongeza tu Yanga kwa kuleta team yenye ushindani, na ingependeza sisi pia tutafute team inayojiandaa na CCL.
Uwiii!! Sijui umewaza nini. Lol.Na bado mtoto halali na hela analala na mavi tu.
Highlights tu zilionyesha kuwa team ya kishingo ilikuwa vizuri na hata ukiangakia aina ya magoli tuliyofungana bado inatuhukumu.Timu ya kishingo itacheza federation cup walimaliza nyuma ya wydad na raja na mwezi ujao team inaenda nchi nyingine probably misri
Poleni kwa kupotezaMtani huyu 5imba mwenzio mbona.
Imeisha hiyoo mkuu, leo tuanze kuwaza mambo mengine ya maendeleoWanakwambia ile ni mechi tu ya kirafiki atuwezi kuumia nafsi,swali linakuja,"kwanini mlishangilia Makambo alipofunga goli?
Kama mlipofunga mlishangilia ndo hivyohivyo mkifungwa mtaumia nafsi.
"uwezi kuukimbia ukweli abadan"
Kindoki [emoji23][emoji23]Sikumbuki Kama Kuna mkongomani yoyote aliyekuja Yanga akawa na shoo mbovu. Kuanzia wakina Tambwe Leya mbaka Tuisila na Mukoko. Kwa ujumla kazi za wakongoman pale Yanga zinajieleza zenyewe wanajituma Sana.
Simba iliyobaki moroko kipa mmoja ally salim,hadi morrison alicheza full back simba hawajaridhika ndiyo maana tar 12 wanaenda misri kambi tenaHighlights tu zilionyesha kuwa team ya kishingo ilikuwa vizuri na hata ukiangakia aina ya magoli tuliyofungana bado inatuhukumu.
Ile mechi yetu ya pili ya kirafiki, hatukucheza na team iliyo ligi juu na bado matokeo hayakuwa mazuri, kikubwa tunahitaji muunganiko kwenye team, tunatakiwa tucheze mechi nyingi za kirafiki Ili team ipate muunganiko mzuri.
Bila shaka unamaanisha bora sare na Waarabu wa Daraja la I, sio!!Bora sare kuliko kutobolewa
Hamna mkuu hapa nilipo Ulaya nashabikia Arsenal kwahyo Nisha kuwa sugu katika matokeo mabovu ya timu zangu zote
Hivi mngeshinda ingeisha hivihivi tu bila makelele na vijembe nyinyi?,tuacheni tutambe na Zanaco yetu.Imeisha hiyoo mkuu, leo tuanze kuwaza mambo mengine ya maendeleo
Kazi iendeleeeee
Imeisha hiyoo mkuu, leo tuanze kuwaza mambo mengine ya maendeleo
Kazi iendeleeeee