Mimi hili nililiona mapema sana kuna mengi worse yanakuja hapo baadaye, timu haina combination wala haifati protocols za soka viongozi hawaheshimu mipaka yao, wao kwasababu ndo maboss eti hadi usajili wanafanya
Mwisho wa siku timu inamaliza usajili na hakuna hata mchezaji mmoja ambaye alikua kwenye mipango ya kocha, alafu hapo hapo uongozi unamuachia mzigo kocha kupitia kikosi hicho hicho ambacho hakikua katika chaguo lake kua kinatakiwa kilete ushindi.
Kulikua na sababu ya msingi sana kocha kususa na kudai apewe muda zaidi ili kuiweka kwenye formation hii timu aliyosajiliwa bila matakwa yake, hata ile tour ya moroco iliyokua aborted ila ikaja kufichwa kwa upepo shamra shamra za manara kuwaweka mashabiki kizani wasi focus kujua sababu ya wao kukatisha tour ghafla.