Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Ninachowapongeza watani ni swala la kuleta team yenye ushindani wa kweli, ZANACO ni team iliyojiandaa kwelikweli kushiriki mashindano ya kimataifa msimu huu.
Badala ya kuleta teams zilizoshindwa kufanya vitu vya maana kwenye ligi zao Ili mzifunge nyingi kama ilivyozoeleka kwenye hizi sherehe, nyinyi mliamua kuleta team yenye ushindani.
Ngoja tuone ni team gani sisi tutaileta, unaamini haitakuwa kutoka RWANDA, KENYA au BURUNDI nchi ambazo kwasasa hazifanyi vizuri sana kwenye ngazi ya clubs, ziletwe teams za ukanda wa kusini au kasikazini.
Ila Yanga mpunguze tambo zenu sasa,maana tofauti na DJUMA ,kipa na Makambo sijaona kikosi cha kutisha sana.😂😂😂😂