Matukio ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa Mkapa katika kilele cha 'Wiki ya Mwananchi'

Tanzania ndio maana hatuendelei kimpira yaani watu wanafanya matamasha ya kipuuzi huku viwango vya football vikiwa bado chini sana. Na hawa wawekezaji uchwara washawajulia namna ya kupiga hela. TFF mnatakiwa mjitafakari sana na ku restructure hiyo association
 
Mzee wa kuwajaza tayari
Makamboooooool
 
Huyu makambo mbona wa [emoji91][emoji91] hivi ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…