Matukio ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa Mkapa katika kilele cha 'Wiki ya Mwananchi'

Matukio ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa Mkapa katika kilele cha 'Wiki ya Mwananchi'

Kikosi cha Yanga kimeshafika uwanjani hapa kwa Mkapa
20210829161415_4.jpg
20210829161415_5.jpg
20210829161415_0.jpg
20210829161415_1.jpg
20210829161415_2.jpg
 
Timu ya wananchi wanakaribia kuingia uwanjani kuwasabahi mashabiki wao wa Yanga wakiwa katika vazi la suit la hatari sana
 
Uzi huu ni maalumu katika kukuletea matukio ya moja kwa moja kutoka katika kilele cha wiki ya mwananchi katika dimba la Mkapa

Hili ni sherehe maalum kwa timu ya Dar es Salaam Young Africans kwa ajili ya utambulisho wa kikosi kipya cha Yanga na benchi zima la ufundi

Leo tegemea kuwashuhudia wachezaji wapya waliosajiliwa kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa ligi kuu na mashindano ya kimataifa yaani CAF champions league

Karibuni katika uzi huu maalum kabisa katika siku maalum ya wananchi

Wananchi......... Sisi tuna watu...... View attachment 1914704View attachment 1914707View attachment 1914709View attachment 1914710

Katika utangulizi wa match za hapa uwanja wa Taifa kikosi cha vijana cha Yanga cha U-20 dhidi ya Cambiasso sports academy
FT.. Yanga U-20-1 vs Cambiasso 3

Huku kwa kikosi cha wanawake
Yanga princess 1 vs Ilala queens 1


Mdhamini wa klabu ya Yanga Gharibu Said Mohamed(GSM) tayari amewasili katika uwanja wa Mkapa pamoja na mwenyekiti wa Yanga Mshindo MsollaView attachment 1914741View attachment 1914742
Kuna nini mbona pamoja na Promo zote za Msukule wenu mpya bado tu mpaka Saa 10 hii Uwanja haujajaa kama ilivyotarajiwa?
 
Back
Top Bottom