Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
Endelea kutuza mkuu[emoji120]Hahahahaahaha hiyo ni surprise mkuu endelea kusubiri kwa hamu kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kutuza mkuu[emoji120]Hahahahaahaha hiyo ni surprise mkuu endelea kusubiri kwa hamu kubwa
Hakuna chama wala konde boy!!!..hata Mugalu au chikwende basi hata kapombeNandi kapanda jukwaani akiwa katika gift box hahahahah Kwa Mkapa kumenoga jamani
Now yupo ana perfome nyimbo yake
Wenzako wamemchukua Duchu ndio Suprise yao ya leo🤣🤣🤣Hakuna chama wala konde boy!!!..hata Mugalu au chikwende basi hata kapombe
Manara na Koffie watatuletea Makombe yote 🙏🙏🙏🙏Wenzako wamemchukua Duchu ndio Suprise yao ya leo🤣🤣🤣
Wakikujibu nitag mkuuMiquisonne ameshatambulishwa?
Namuona Manara, Chama na konde boy wanasubiria kuingia uwanjani hapa!!!...Mbumbumbu FC wanaogopa kuchangia kwenye huu uzi!! 😁😁
Kuna nini mbona pamoja na Promo zote za Msukule wenu mpya bado tu mpaka Saa 10 hii Uwanja haujajaa kama ilivyotarajiwa?Uzi huu ni maalumu katika kukuletea matukio ya moja kwa moja kutoka katika kilele cha wiki ya mwananchi katika dimba la Mkapa
Hili ni sherehe maalum kwa timu ya Dar es Salaam Young Africans kwa ajili ya utambulisho wa kikosi kipya cha Yanga na benchi zima la ufundi
Leo tegemea kuwashuhudia wachezaji wapya waliosajiliwa kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa ligi kuu na mashindano ya kimataifa yaani CAF champions league
Karibuni katika uzi huu maalum kabisa katika siku maalum ya wananchi
Wananchi......... Sisi tuna watu...... View attachment 1914704View attachment 1914707View attachment 1914709View attachment 1914710
Katika utangulizi wa match za hapa uwanja wa Taifa kikosi cha vijana cha Yanga cha U-20 dhidi ya Cambiasso sports academy
FT.. Yanga U-20-1 vs Cambiasso 3
Huku kwa kikosi cha wanawake
Yanga princess 1 vs Ilala queens 1
Mdhamini wa klabu ya Yanga Gharibu Said Mohamed(GSM) tayari amewasili katika uwanja wa Mkapa pamoja na mwenyekiti wa Yanga Mshindo MsollaView attachment 1914741View attachment 1914742
Ngoja nimuite huyu mbumbumbu fc njaakalihatari aje amuone rafiki yake Maulid Baraka wa Kitenge anavyo upiga mwingi pale uwanjani.Maulidi Baraka wa Kitenge ndo yupo jukwaani kama mshereheshaji rasmi sasa
Misukule inasalimia Misukule yenzao tu.Sasa wachezaji wa Yanga wapo uwanjani kutoa salamu
Hao ni Wanenguaji wa KiCongo si wachezaji kama unavyodhani, subir muda utaongeaSasa wachezaji wa Yanga wapo uwanjani kutoa salamu