Matukio ya Ushoga duniani

Watu mbona hamsikii! Nani hapa JF hajui kuwa cocastic ni shoga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawee kaanzishe uzi, ndo watakusikia na kukuelewa.
Maskini hadi unataka kulia,. Woiiiiiiiiih
 
Nenda kitambaa cheupe pale, wamejaa kama kumbikumbi, ndio maana ile bar inajaza sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Duuuh ipi hiyo ya Tabata au Sinza? Hawaogopi hao mashoga? Mmmmh ndo maana wananyeshwa sumu kwa kinywaji baadhi yao. Duuuh.
 
Uliwajuaje kama ni Mashoga??
Kulegea kwao ushapigia mstari kua ni mashoga?
 
huyu mleta mada ni shoga 100% huwa anautetea kwa nguvu zote. Aisee bora kuwa mwizi ila sio kupinga nature
 
Watoto hukua kwa kuiga tunayo yafanya, na ndivyo imekua karne zote utakua una matatizo kama hukulijua hilo.
Hujaelewa, ukakurupuka kuji defend, nimekuuliza watoto wanaiga vipi ushoga, yaan nieleze. Nna maana yangu kuuliza hivyo.
 
Daah!
Aliyefanya hilo tukio atakamatwa tu, Damu ya Mtu hua haipotei kirahisi namna hiyo
 
huyu mleta mada ni shoga 100% huwa anautetea kwa nguvu zote. Aisee bora kuwa mwizi ila sio kupinga nature
Nilisema mimi Panya Road tunao humu humu kwenye mitando, yaan unasapoti wizi kisa unapinga ushoga....

Hebu leta faida 5 za Wizi na Hasara 5 za Ushoga
 
wewe mwenyewe shoga

endelea kuishi
 
Katika Watu nilidhani wana akili na busara humu Jf wew ulikua mmoja wao,

Ila sasa heshima kwako nimeiondoa, yaani nimekudharau japo hatujuani wala sikusaidii chochote ila jua Culture Me wa JF amenishusha vyeo na kuniweka kundi la wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…