Matukio ya Ushoga duniani

Matukio ya Ushoga duniani

Huyo anayempiga pipe yeye anapewa adhabu gani???

Wafiraji mnazidi kujitokeza kwenye huu uzi, sad
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 sasa mkuu mbona unataka kuhalalisha kuliwaa kupiga pipe sifa ya mwanaume...
 
Namuunga mkono mchangiaji aliyesema inabidi kufanyike msako kabisa wa mashoga na wakikutwa popote pale hukumu iwe ni decapitation
 
Huna akili wewe , nyie ndio fuata mkumbo Tu msiojua dunia inaendaje , ni watu msio na upeo WA kukaa na kutafakari vitu Kwa kina (critical thinking ) , you are nothing but brainless dummies .

Hao mawaziri, wabunge NK in general , viongozi wakubwa WA kiserikali mpaka kidini na hata wafanyabiashara wakubwa ndio hao hao wafiraji wakubwa na wanunuzi WA mashoga , kanisa katoliki mfano na mapadre wake hao wabakaji kinyume na maumbile watoto wadogo Kwa miaka mingi na hata Pope mwenyewe anajua na ame admit publicly , Kwa waislamu hao mashehe nao wanafiki Tu hizi hapa kuna sheikh sijui ustadh kabaka watoto kinyume na maumbile tena msikitini , watoto WA madrasa mpaka kwenye vyombo vya habari na mitandao mtakuwa mmeona na inaonekana ndio Tabia yake .

Huu unafiki WA kudemonize watu sijui mashetani sijui nini ni ufala , kila mtu aishi maisha yake atajuana na Mungu wake , Dunia ya kinafiki hii .
😂😂😂Pole kwa kumpoteza mwenzio,, sio kwa machungu haya,,
 
Happy Pride Month
[emoji2380][emoji304]
.
IMG_20220601_081944.jpg
 
Kutoweka au kuongezeka? Mashoga wanaongezeka kila leo sababu wahitaji na watumiaji wako wengi.

Ukweli ulio wazi, km Jamii inataka kuutokomeza ushoga, ianze na mabasha kwan. Una muua shoga basha wake anabaki anaenda kumuibua shoga mpya uraiani, sasa ndo nn?

Hili suala linahitaji akili na uerevu ktk kukabiliana nalo
Naomba kuuliza kuna uhusiano gani kuwa shoga na sex worker!?

Why most of them ni sex workers!?

Curiosity killed the cat but not the imp
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah kwahiyo kuwa serious ni kufuata wee unavyotaka mtoto awe? Nyie watu mbna mnashangaza sanaa, unachotaka wee sicho nachotaka mie, na ninachotaka mie sicho unachotaka wee,

Ndo maana mnaishia kuua mashoga, eti kisa mnataka wawe straight, ndo uwezo wa kufikiri unapoishia. Daaah kazi ipo.
Ndo maana mnaishia kuua mashoga, eti kisa mnataka wawe straight, ndo uwezo wa kufikiri unapoishia. Daaah kazi ipo.

U gotta be clean... what's you sex orientation. Straight,bi or gay!?

Usije commit suicide kwa hizi comment za watu humu ndani. Maana yawezekana ukaonesha uko ok but this social discrimination ikakuongezea mental pressure uka loose yo self.

Beware you are at suicide watch[emoji789](most of gays...if you are..)
 
Hiyo civilization kaimpose Kwa familia yako , usipangie watu maisha , as long as mtu anapractice kitu kisichokuaffect , JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off ! . Watu wanaowaonea mashoga na kuwanyanyasa nashauri itengenezwe severe punishment ili iwe fundisho Kwa wengine
Jua ni vita kubwa sio easy kama gays mnavotaka kulazimisha

Tatizo lenu mnataka kulazimisha kila kitu.

Mimi sinaga tatizo na nyie watu ila mnapoanza lazima mambo na sheria ziwafavour hapo ndio inakuwa inshu.

Duniani jinsia mbili tu nyie ni jinsia ipi!?
 
Back
Top Bottom