Matukio ya Ushoga duniani

Matukio ya Ushoga duniani

Kaka mmoja ambaye ni shoga anayefahamika kwa jina la Emmanuel, ameuawa baada ya kukutwa akijisaidia ktk choo cha wanaume.

Tukio hilo limetokea katika baa 1 Nchini South Africa, ambapo shoga huyo alikuwa akinywa pombe hapo, baada ya kubanwa na haja akaelekea chooni kujisaidia ambapo kinatumiwa na wanaume.

Ndipo akaingia mtu mwingine hapo chooni na kumkuta huyo shoga, akamuuliza anatafuta nini katika choo cha wanaume, shoga huyo wakati akiwa anatoa majibu, ndipo huyo mtu akaanza kumchoma na kisu tumboni, hali iliyopelekea damu nyingi kuvuja, na umauti umemkuta njiani akipelekwa hospitali.

Wakati tukio hilo linatokea kuna baadhi ya watu walikuwa wanashuhudia ila hawakutoa msaada wowote, hadi pale hali ilipokuwa tofauti.

Baadhi ya raia wa South Africa wametuma pole na salamu za rambirambi kwa familia ya Emmanuel, na wamelaani vikali kitendo hicho kwani sio cha kiungwana na sio cha kufurahisha, na ni jambo la kukemewa. Pia mtu aliyefanya mauaji hayo hajulikani alipo, japo hakuna hatua yeyote ya sheria iliyochukuliwa dhidi yake.

Ila jamani Waafrica mashoga wamewakosea nn lakini? Mbona mnawaandama sana? Kwani mkiwaacha wao wakaishi maisha waliyochagua mnapungukiwa nn? Kutwa kuwapiga, kuwaua, kuwabagua, kuwanyanyapaa, kuwatenga, hamuoni tabu? Hamjisikii vibaya? Hamuogopi? Inasikitisha mnoo. Ifike hatua kila mtu aishi maisha yake aliyochagua na sio kupangiana. Khaaah.

Pi na hawa baadhi ya mashoga wa ki Africa nao wanajisahau sana, wanajua wazi kwamba ktk bara letu nchi karibu zote hawatakiwi na bado haijawa rasmi utambulisho wao, lakini kutwa kujifaragua na kujishaua mbele ya jamii, ili tyuuh waonekane na wao wapo, ndo wanaishia kukutwa na haya masaibu, mtu unajijua n mlevi kwann usinunue Pombe zako ukakaa kwako ukanywa? Tena kwa uhuru kabisaaa, huko bar wanatafuta nn? Haya wengine km hapa kwetu Bongo wao ni shughuri na parties hadi wanakamatwa wanapigwa wee na kudhalilishwaaa, shida yote ya nn? Kwan usitulizane na maisha ya upekee kwani lazima kuchangamana na watu, si una balance tyuuh shoboo zako. Mara wengine kujitongozesha kwa wanaume straight, yaan ni tafrani tupu. Inauma.

Kwa tukio hili, nategemea kuona shirika la haki za binadamu hasa kutoka UN litoe tamko na lichukue hatua stahiki kulingana na husika, pia sheria ichukue mkondo wake ilk kukomesha tabia mbovu ya unyanyasi na ukatili dhidi ya mashoga.

Kila binadamu ana uhuru wa kuishi vile atakavyo ili hali asivunje kanuni, taratibu na sheria za nchi.

......

View attachment 2266053
Eh ni cheche la moto ya moto band,......hapo usipokua makini unamchukua tu unakuja kustuka room akivua nguo maana ukingalia ni kama kademu tu aisee
 
Kiukweli huwa sina shida sana na faragha ya mtu as long as tigo ni yake na ameamua kuitoa kimpango wake.

Lakini deep inside siwapendi mashoga. Hata salamu ya shoga siwezi kuipokea.

Hata wakiuliwa siwahurumii, japo siwezi kuhamasisha wauliwe.
Mimi kwangu bora nikutane na mashoga 100 kuliko kukutana na kada wa ccm ...nikisikia mtu wa ccm kafa nafurahi haswa.
 
Hakuna lijari anakula shoga, ukiona mtu anakula shoga nae ni shoga, lijari siku zote matamanio yake ni kwa mwanamke na maumbile ya mwanamke, ukiona mtu anatamani mwanamme ujue wako dunia moja na huyo anaemtamani.
Shimo ya nyuma ya mwanamke ni sawa sawa na shimo ya nyuma ya mwanaume ..kwenye hizo shimo hakuna jinsia afiraye mwanamke ni sawa sawa na afiraye mwanaume tena ujue tofauti ya shoga na basha ...ni tabia ya kuingilia watu kwenye tobo ya nyuma hata kama ni mwanamke ...kwenye huu uzi mimi naona ni unafiki tu umejaa maana naona vita ni baina ya
Wafiraji vs mashoga wakishutumiana wao kwa wao hakuna jipya
 
Hivi kwanini Nyuzi za Mashoga zinakua na Wachangiaji wengi sana, mie najiuliza kama kitu hukipendi utaweza kweli kukiongelea, kuna IDs humu zimeshinda kwenye huu Uzi na kila Nyuzi za Mashoga hawakosekani na habari zenu ninazo mnajifanya mnakemea hapa hadharani ila mnawafata Watu Inbox ambao mnaona wanatetea na kuwatongoza, aibu iwe juu yenu na kizazi chenu,

Acheni Unafki nyie Wanaume ooh Shoga auliwe, anafirwa na nani mbona hamjisemi kama nyie ndio waharibifu namba moja wa hao Watoto,

Kuna lijitu usiku huu limekamatwa linamlawiti Mtoto mdogo Beach ya Feri Kigamboni, nikasema ukute limetoka kuandika unafki jf kua linachukia Mashoga likaenda kufanya ufirauni kwa Mtoto mdogo, Mungu kafichua uovu wake,

Wanaume ndio Wafiraji, Wabakaji, Walawiti, wadhalilishaji na ufirauni wote ila hawajizungumzii wanakandamiza wahanga,

Kuna Mijanamke mingine ipo humu humu inaficha ufirauni wa Waume zao, Watoto kila leo wanafanyiwa vitendo vichafu ila unakuta Familia zinawaficha Wahalifu, mnajua Trauma anayobaki nayo yule Mtoto?

Acheni unafki wenu Kunguni nyie, kwa hiyo ukishamuua Shoga wewe unaenda Peponi? Hiyo Dini yako inakwambia nini kwenye kutoa Uhai wa Mtu wewe ndio ulimpa Pumzi hadi Uitoe???
Wajaa laana wakubwa nyie, mna madhambi makubwa makubwa mnayawafanya gizani, wengine mnalala hadi Makaburini , wengine mnatoa kafara hadi Mama Zenu lakini likija suala la Ushoga mnajifanya mnauchungu sana na kusahau madhambi yenu, Mijusi ilokosa mikia nyie,

Kuna Mijitu mizima hovyo ishatoa Mimba hadi Madaktari wakiwaona wanawakimbia, visimi vimelegea kwa kuchokonolewa na mavyuma lakini likija suala la Ushoga wanajifanya watakatifu na kulaani Wenzao,

Hebu nipisheni mie [emoji57]
Sababu ni nyuzi za utani wa jadi baina ya mabasha na mashoga ...mabasha wakiwashutumu mashoga na mashoga wakiwashutumu mabasha
 
Jana jioni (juma2) hapa chuo fulani Morogoro nacheki game uwanjani nikaona mapunga mawili yamelegea kama mlenda mood ya game ikakata nikaondoka pale. Sikuwahi kuona punga kwa karibu! Kumbe nami ilitakiwa nichukue hatua stahiki! Naanza kutembea na jambia sasa.

Bado zamu yako wewe mleta mada
😅😅😅🤣🤣
 
Kaka mmoja ambaye ni shoga anayefahamika kwa jina la Emmanuel, ameuawa baada ya kukutwa akijisaidia ktk choo cha wanaume.

Tukio hilo limetokea katika baa 1 Nchini South Africa, ambapo shoga huyo alikuwa akinywa pombe hapo, baada ya kubanwa na haja akaelekea chooni kujisaidia ambapo kinatumiwa na wanaume.

Ndipo akaingia mtu mwingine hapo chooni na kumkuta huyo shoga, akamuuliza anatafuta nini katika choo cha wanaume, shoga huyo wakati akiwa anatoa majibu, ndipo huyo mtu akaanza kumchoma na kisu tumboni, hali iliyopelekea damu nyingi kuvuja, na umauti umemkuta njiani akipelekwa hospitali.

Wakati tukio hilo linatokea kuna baadhi ya watu walikuwa wanashuhudia ila hawakutoa msaada wowote, hadi pale hali ilipokuwa tofauti.

Baadhi ya raia wa South Africa wametuma pole na salamu za rambirambi kwa familia ya Emmanuel, na wamelaani vikali kitendo hicho kwani sio cha kiungwana na sio cha kufurahisha, na ni jambo la kukemewa. Pia mtu aliyefanya mauaji hayo hajulikani alipo, japo hakuna hatua yeyote ya sheria iliyochukuliwa dhidi yake.

Ila jamani Waafrica mashoga wamewakosea nn lakini? Mbona mnawaandama sana? Kwani mkiwaacha wao wakaishi maisha waliyochagua mnapungukiwa nn? Kutwa kuwapiga, kuwaua, kuwabagua, kuwanyanyapaa, kuwatenga, hamuoni tabu? Hamjisikii vibaya? Hamuogopi? Inasikitisha mnoo. Ifike hatua kila mtu aishi maisha yake aliyochagua na sio kupangiana. Khaaah.

Pi na hawa baadhi ya mashoga wa ki Africa nao wanajisahau sana, wanajua wazi kwamba ktk bara letu nchi karibu zote hawatakiwi na bado haijawa rasmi utambulisho wao, lakini kutwa kujifaragua na kujishaua mbele ya jamii, ili tyuuh waonekane na wao wapo, ndo wanaishia kukutwa na haya masaibu, mtu unajijua n mlevi kwann usinunue Pombe zako ukakaa kwako ukanywa? Tena kwa uhuru kabisaaa, huko bar wanatafuta nn? Haya wengine km hapa kwetu Bongo wao ni shughuri na parties hadi wanakamatwa wanapigwa wee na kudhalilishwaaa, shida yote ya nn? Kwan usitulizane na maisha ya upekee kwani lazima kuchangamana na watu, si una balance tyuuh shoboo zako. Mara wengine kujitongozesha kwa wanaume straight, yaan ni tafrani tupu. Inauma.

Kwa tukio hili, nategemea kuona shirika la haki za binadamu hasa kutoka UN litoe tamko na lichukue hatua stahiki kulingana na husika, pia sheria ichukue mkondo wake ilk kukomesha tabia mbovu ya unyanyasi na ukatili dhidi ya mashoga.

Kila binadamu ana uhuru wa kuishi vile atakavyo ili hali asivunje kanuni, taratibu na sheria za nchi.

......

View attachment 2266053
Kiufupi Kwa maelezo yako nimegundua yamkini hata wewe ni shoga, unatetea fulani hivi, hivi hata Kwa akili zako hizo ndogo huwezi kuona tendo la ndoa linawahitaji watu gani? Unasema Afrika sijui iwatambue, elewa huko alikouawa huyo Kuna sheria ya kuwatambua na South Africa mashoga mapumbavu ni mengi sana na yako wazi wazi, unapojaribu kuyatetea kama wewe si shoga na una uzao, likimkuta mtoto wako utagundua hii Dunia ni chungu na utasali sana kuondoa hiyo, ila namna ulivyoiweka mada yako unaonyesha wazi na wewe ni mmoja wao, na kama ni mmoja wao na ni muafrika wa hapa Tanzania na ufe hata kesho tu.
 
TATIZO NI MABASHA SIYO MASHOGA HUO NDIYO UKWELI KAMILI HATA VITABU VYA DINI VINAFUNDISHA HIVYO ...hao mashoga unao waona watu wazima wamealibiwa utotoni na mabasha ....ichi kinacho tokea cha kuwashutumu mashoga ni sawa sawa na kesi aliyo letewa YESU kwenye biblia ya mwanamke mzinzi kuhusu hukumu ya musa ...yesu alikataa hiyo kesi sababu ni unafiki mtu anakuwaje mzinzi yeye pekeyake wakati ni kitu kinacho tokana na mtu zaidi ya mmoja ....hivyo kila ukiona shoga mmoja ujue kuna mabasha mia100
Una akili sana tena mnoooo!
 
Back
Top Bottom