Apelekwe huko gerezani akalawitiwe aone uchunguJabir Hamisi, mkazi wa mtaa wa Mwatulole, mkoani Geita, amenusurika kuuawa kwa kipigo na mamia ya wananchi, baada ya kukutwa akiwa na kundi la watoto wadogo, akiwafundisha vitendo vya ushoga na ulawiti, hali iliyolazimu Jeshi la Polisi mkoani humo kuingilia kati na kumuondoa katika eneo hilo, kunusuru maisha yake.
View attachment 2433599
Kwani taarifa hii ina uhusiano gani na uislamu? Mimi ni mkristo kwasababu baba yangu ni mkristo ila mama yangu ni muislamu safi kabisa kwahiyo nina bahati ya kuzijua hizi dini kwasababu kipindi kile niko dogo shule zikifungwa naenda kumtembelea mama na kanuni za pale mtoto yeyote ikifika saa 9 tu lazima uende madrasa,kiufupi uislamu naujua kwakiasi fulani na ukristo nao naujua kwasababu ndio nauuishi hadi leo,kwataarifa yako hakuna dini yenye mafundisho yaliyonyooka hapa duniani kama uislamu,kwenye Quran hamna sijui nani kaondoa sijui baadhi ya maneno kwenye swalaHalafu kuna watu wana kazana kusema dini ni moja tu duniani.! mara sijui ni dini ya Allah.#pumb.avuu
yeye ana uzoefu ndio atawala wenzakeApelekwe huko gerezani akalawitiwe aone uchungu
dini haihusiki,So tunamuhukumu kwa dini yake
USSR
dini haihusiki,So tunamuhukumu kwa dini yake
USSR
Ukuu wa imani au dini ya mtu ni matendo yake.sio brah brah zenuKwani taarifa hii ina uhusiano gani na uislamu? Mimi ni mkristo kwasababu baba yangu ni mkristo ila mama yangu ni muislamu safi kabisa kwahiyo nina bahati ya kuzijua hizi dini kwasababu kipindi kile niko dogo shule zikifungwa naenda kumtembelea mama na kanuni za pale mtoto yeyote ikifika saa 9 tu lazima uende madrasa,kiufupi uislamu naujua kwakiasi fulani na ukristo nao naujua kwasababu ndio nauuishi hadi leo,kwataarifa yako hakuna dini yenye mafundisho yaliyonyooka hapa duniani kama uislamu,kwenye Quran hamna sijui nani kaondoa sijui baadhi ya maneno kwenye swala
Umekielewa ulichokiandika? Blah blah ndio nini? Uislamu ni mfumo wa maishaUkuu wa imani au dini ya mtu ni matendo yake.sio brah brah zenu
Mwingine huko Geita wa dini yako kakamatwa leo anawafundisha watoto ushoga. Utasemaje kuwa huo ni mfumo wa maisha ?!.Umekielewa ulichokiandika? Blah blah ndio nini? Uislamu ni mfumo wa maisha
Je uislamu unazungumziaje ushoga?Mwingine huko Geita wa dini yako kakamatwa leo anawafundisha watoto ushoga. Utasemaje kuwa huo ni mfumo wa maisha ?!.
We mshamba wala havirelate kabisa.Ukuu wa imani au dini ya mtu ni matendo yake.sio brah brah zenu
Hujiamini mkuu!
Dini gani kwani?So tunamuhukumu kwa dini yake
USSR
akiwa na matendo yapi ndio wa hiyo dini na akiwa na matendo yapi ndio si wa hiyo dini?Ukuu wa imani au dini ya mtu ni matendo yake.sio brah brah zenu
Jibu hoja acha blah blah blah na porojo za kisoro jamvinHujiamini mkuu!
Swali liko wapi nijibu?Jibu hoja acha blah blah blah na porojo za kisoro jamvin
Wanamwamini, kama vile shetani ibilisi nae anamwamini Mungu. So?kwani mashoga hawamwamini mungu?
utazaa shoga siku zitasemai wish i kill them all
Hakuna mtu anazalia akiwa na hamu ya kupigwa tigoHivi mtu anaweza kuwa homosexual wa kuzaliwa? Kama jibu ni ndiyo, nini nafasi ya watu kama hao katika jamii?
Unachukiaje madhara ya risasi bila kuchukia bunduki inayoibeba. Ushoga unabebwa na watu wanaoufanya na wanaousupport.Zaman niliwachukia mashoga sana lakin nimeelewa tu atakaewahukumu ni Mungu sisi pia wengine ni wadhambi wakubwa tu na wanafiki hali ya juu